Mke wa mtu sumu yamemkuta

Mke wa mtu sumu yamemkuta

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
2,584
Reaction score
1,886
Jamaa alikuwa na mke wa mtu guest house akila mzigo, sasa baada ya kumaliza akampigia simu dereva wa bodaboda wa siku zote aliyemzoea kuwa aje amfate mahala alipo ili ampeleke shemeji yake nyumbani (amuwahishe).Akidai ni mke wa mtu asije mme wake akarudi home asimkute, sasa jamaa kufika yani dereva bodaboda akampigia simu bosi wake kua amefika sehemu husika anamsubiri nje bosi yaani jamaa aliyemuita akamwambia amsubiri anakuja nae ili amlipe kabisa.

Kufika nje ya geti jamaa na mwanamke wakakuta kibajaji wakaingia, jamaa akasalimia akala mate akampa mwanamke burungutu jamaa akazima ukimya kua nampeleka wapi ghafla! Mwanamke akastuka kuangalia vizuri mume wake jamaa akamuuliza vipi unaenda home kwanza au unapitia sokoni?Kama ulivyosema mwanamke kimya jamaa yuko nakuuliza mbona kimya dereva bajaji ikabidi ageuke kuangalia nyuma anageuka anakuta mke wake.

Jamaa akauliza vipi mnajuana! Hapo ndipo timbwili likaanza jamaaa wa bajaji akanzisha kitim tim mwisho ikabidi aangue kilio huku akisema "kuhangaika kwangu huku mpaka naendesha bajaji nikutunze malipo ndio haya mke wangu dereva huyo akiuliza kwa jazba na uchungu wa kilio chenye kwikwi uku kamkunja mke wake.Bosi aliyemuita akabidi awe mpole kwa kuzuga hajui kama mke wa mtu na dereva wa bajaji akidai yeye hana ugomvi na jamaa ana ugonvi na mke wake aliyemvunjia heshima.

=>>Mazeee mke wa mtu sumu kueni makini na nyie wanawake rizikeni na vibamia kama sivyo kwanini mkubali kuolewa.
 
Pia wanasema 'wanasema mume wa mtu maziwa' kwa hiyo vikikutana ni ngoma droo. Nchi ya wazandiki hii!
 
Jamaa alikua na mke wa mtu guest house akila mzigo sasa baada ya kumaliza akampigia simu dereva wa boda boda wa siku zote alie mzoea kua aje amfate mahala alipo ili ampeleke shemeji yake nyumbani(amuwahishe) akidai ni mke wa mtu asije mme wake akarudi home asimkute.... Sasa jamaa kufika yani dereva bodaboda akampigia simu bosi wake kua amefika sehemu husika anamsubiri nje... bosi yaani jamaa alie muita akamwambia amsubiri anakuja nae ili amlipe kabisa.... Kufika nje ya geti jamaa na mwanamke wakakuta kibajaj wakaingia jamaa akasalimia akala mate akampa mwanamke burungutu jamaa akazima ukimya kua nampeleka wapi ghafla mwanamke akastuka kuangalia vizuri mume wake jamaa akamuuliza vipi unaenda home kwanza au unapitia sokoni kama ulivyosema mwanamke kimya jamaa yuko nakuuliza mbna kimya dereva bajaji ikabidi ageuke kuangalia nyuma anageuka anakuta mke wake....jamaa akauliza vipi mnajuana.... Hapo ndipo timbwili likaanza jamaaa wa bajaji akanzisha kitim tim mwisho ikabidi aangue kilio uku akisema "kuangahika kwangu huku mpaka naendesha bajaj nikutunze malipo ndio haya mke wangu dereva huyo akiuliza kwa jazba na uchungu wa kilio chenye kwikwi uku kamkunja mke wake... bosi alie muita akabidi awe mpole kwa kuzuga hajui kama mke wa mtu na dereva wa bajaji akidai yeye hana ugonvi na jamaa ana ugonvi na mke wake alie mvunjia heshima..... =>>Mazeee mke wa mtu sumu kueni makini na nyie wanawake rizikeni na vibamia kama sivyo kwanini mkubali kuolewa.
Uandishi mbovu sana, rudi shule tena mkuu
 
Ndio maana hatuoi kwanza maana ni shiiiiida sana hizi ndoa za cku hizi
 
dawa ni kumrudia Yesu tu ,dunia ishavaa chupi kichwani hii
 
Uandishi wa kijinga kabisa huu.... vipi ulitoroka shule mleta mada?.
 
Kama humpi haki yake kwani pambo la nyumba
Hainaga mke wa mtu tunakulagaaa tu
 
Issue siyo kibamia, tatizo pesa na kutokuridhika,
binafsi kama nimemfuma mke/mpenzi ili hali nampenda sito fanya chochote
 
Jamaa alikua na mke wa mtu guest house akila mzigo,sasa baada ya kumaliza akampigia simu dereva wa boda boda wa siku zote alie mzoea kua aje amfate mahala alipo ili ampeleke shemeji yake nyumbani(amuwahishe), akidai ni mke wa mtu asije mme wake akarudi home asimkute.... Sasa jamaa kufika yani dereva bodaboda akampigia simu bosi wake kua amefika sehemu husika anamsubiri nje... bosi yaani jamaa alie muita akamwambia amsubiri anakuja nae ili amlipe kabisa.... Kufika nje ya geti jamaa na mwanamke wakakuta kibajaj wakaingia, jamaa akasalimia akala mate akampa mwanamke burungutu jamaa akazima ukimya kua nampeleka wapi ghafla! mwanamke akastuka kuangalia vizuri mume wake jamaa akamuuliza vipi unaenda home kwanza au unapitia sokoni?, kama ulivyosema mwanamke kimya jamaa yuko nakuuliza mbna kimya dereva bajaji ikabidi ageuke kuangalia nyuma anageuka anakuta mke wake....jamaa akauliza vipi mnajuana.... Hapo ndipo timbwili likaanza jamaaa wa bajaji akanzisha kitim tim mwisho ikabidi aangue kilio uku akisema "kuangahika kwangu huku mpaka naendesha bajaj nikutunze malipo ndio haya mke wangu dereva huyo akiuliza kwa jazba na uchungu wa kilio chenye kwikwi uku kamkunja mke wake... bosi alie muita akabidi awe mpole kwa kuzuga hajui kama mke wa mtu na dereva wa bajaji akidai yeye hana ugonvi na jamaa ana ugonvi na mke wake alie mvunjia heshima..... =>>Mazeee mke wa mtu sumu kueni makini na nyie wanawake rizikeni na vibamia kama sivyo kwanini mkubali kuolewa.
huu mwandiko wako huu unaumiza macho............ sijui hata nianze wapi kurekebisha
 
Inaonekana umepata mke siku za karibuni...ndio maana unatisha wadokozi na story za kutunga...usiwe na wasiwasi, kama kuna ulazima watakugongea tu!!!
 
Inaonekana umepata mke siku za karibuni...ndio maana unatisha wadokozi na story za kutunga...usiwe na wasiwasi, kama kuna ulazima watakugongea tu!!!

Asee awe makini la sivyo kugongewa kupo Tu!
 
Back
Top Bottom