incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,533
- 4,286
Jamana wana JF siku zite rafik wa kwel ni sawa na ndugu mimi nahitaji rafiki wa jinsia yeyote na mwenye elimu kiwango chochote ilimrad tu awe na upeo mzur wa kimawazo na fikra na mwenye kuwaza mipango ya kimaendeleo na si vinginevyo ani tumie # yake kwenye PM yangu kisha ntamtafta sihitaj coment za matus na kebeh kama hutak potezea post hii [emoji17] [emoji17]