Mrejesho: Mke wangu kakubali kutumia ARVs

Mrejesho: Mke wangu kakubali kutumia ARVs

chanawalleti

Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
49
Reaction score
45
Nadhani wengi mtakumbuka nilivyoleta uzi apa wife kwa imani yake aligoma kutumia ARVs, kwenye uzi kuna point nilichukua na nashukuru nilizifanyia kazi.

Jana ilikuwa hivi nilimbembeleza niliamka saa kumi na moja nikaanza kuongea nae akaanza kanielewa, Mungu alivyo mkubwa nikaenda kituo cha afya nikiwa sina wasiwasi wowote nilipofika nikamkuta mpimaji VVU mwenyewe alishangaa nilivyokua najiamini tuliongea mengi bahati nzuri alikua kaokoka.

Nilimpigia wife simu nikamwomba aje kweli akaja mama akatoa somo sana kiukweli akaelewa nikapima nae kapima nashukuru kakubali kutumia dawa. nashukuru sasa nimeacha tabia na njia zote zisizompendeza Mungu nimekua mtu wa kujiamini sana hadi madocta walinisifu kuwa ni mfano wa kuigwa.
 
Una matatizo wewe, pengine he feels good akisema, wewe umekuwaje disappointed? Uliombwa usome? Wacha kuwa na Roho zisizokuwa za kiungwana...... Hili andiko Ni zuri na Jema sana kuliko mengine mengi yakijinga, mtake jamaa radhi...

I agree with you 100% mkuu
 
Jamani inawezekana kwa frustrations ndio maana anaweka humu walau apate public sympathy.Ile iwe nafuu kwake.
Japo sio vyema kuweka mambo haya mtandaoni
 
Una matatizo wewe, pengine he feels good akisema, wewe umekuwaje disappointed? Uliombwa usome? Wacha kuwa na Roho zisizokuwa za kiungwana...... Hili andiko Ni zuri na Jema sana kuliko mengine mengi yakijinga, mtake jamaa radhi...
usimhukumu mwache tuu
 
Uzuri wa bandiko umeuona wewe, ungana na madaktari muendelee kumpongeza.
 
Uzuri wa bandiko umeuona wewe, ungana na madaktari muendelee kumpongeza.

Hata Kama si zuri kwako kwa hali yake hemu kuwa muungwana tu..... Mwenzako kwanza amesema ushauri wa Jf umemsaidia na pia panaweza kuwa na mwingine hapa mwenye hali hiyo akafarijika. Acha ubinafsi kwa sababu umzima
 
Hivi ni lazima kila jambo lako uliweke hapa jukwaani?

😎Disappointed.
mkuu tambua humu ni jukwaa huru pia watu wengi wana matatizo tofauti na unavyofikiria pia Kuna waliothika na vvu wana stress adi wengine wanatamani kujiua pia tambua kua Kuna ambao wanajifunza kupia mm. pia mm Kuna ninayojifunza kupitia comment za watu. na utambue matatizo ni sehem ya maisha na siyo tuu ujue ww ukijilinda hutaupata ugonjwa pia unaweza usipate vvu ukapata ajili ukakatika miguu au ukawa kipofu gafla. dunia ina mambo mengi. jitahidi kuwa na breki ya mdomo ndugu. usione mtu anatembea barabaran kawa chizi unadhani kapenda? usione wanaojiuza unadhani wamependa? jibu hili ulishapata fastression yyt ktka maisha yako? mkuu dunia ina mambo sana na majaribu sana
 
Mkuu hongera kwa hatua uliyopiga na shemej yetu nae amefanya maamuzi mazuri kwa mustakabali wa maisha yenu kwa ujumla..
 
kwakwli inashangza na wtu wa namna hii wanakwaza. lol. tna jmbo serious kma hli sdhan kama kna umuhimu kulianika.
mkuu kama ww hujajifunza Kuna wanaojifunza kupitia huu uzi na kuwajenga na kuwapa matumaini pia tambua huu uzi Kuna mtu anausoma na yupo Hali mbaya na unampa nguvu anapona
 
mkuu tambua humu ni jukwaa huru pia watu wengi wana matatizo tofauti na unavyofikiria pia Kuna waliothika na vvu wana stress adi wengine wanatamani kujiua pia tambua kua Kuna ambao wanajifunza kupia mm. pia mm Kuna ninayojifunza kupitia comment za watu. na utambue matatizo ni sehem ya maisha na siyo tuu ujue ww ukijilinda hutaupata ugonjwa pia unaweza usipate vvu ukapata ajili ukakatika miguu au ukawa kipofu gafla. dunia ina mambo mengi. jitahidi kuwa na breki ya mdomo ndugu. usione mtu anatembea barabaran kawa chizi unadhani kapenda? usione wanaojiuza unadhani wamependa? jibu hili ulishapata fastression yyt ktka maisha yako? mkuu dunia ina mambo sana na majaribu sana

Hajielewi huyo, mpotezee Tu!

Mimi nashukuru kwa kutupa mrejesho mkuu
 
Hivi ni lazima kila jambo lako uliweke hapa jukwaani?

😎Disappointed.
ww hujitambui nyie ndiyo kutwa nzima mnakua jf mnaleta mambo ya tigo tuu tena ningekutukana sana mk........wako mtu analeta mada ya maana ww unaponda
 
Wewe ndiye huelewi. Norway inaongoza kwa watu wake kujiua kwa kujinyonga, kisa ni mtu kukaa na tatizo. Mleta maada hana kosa kabisa na kushare issue kama hizi zinasaidia kurefusha maisha, hasa pale ambapo unapata ushauri kwa great thinkers wa JF.
mfundishe kabisa maana hawaelewi kabisa unaweza kuta apo alipo hajawahi ata kupima afya yake
 
ww hujitambui nyie ndiyo kutwa nzima mnakua jf mnaleta mambo ya tigo tuu tena ningekutukana sana mk........wako mtu analeta mada ya maana ww unaponda
Wewe tukana kama unajiskia kutukana, ili utudhihirishie ujinga wako ulioficha huko kichwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom