KISILANI HUYO! MWOMBEEHabari zenu jamani,
Nina mpenzi wangu sijui ananifanyia makusudi au ni tatizo lake tu, yani anaweza kunikasirikia hata wiki nzima kosa silijui, hanisemeshi nikimtumia meseji hajibu, simu hapokei, anaweza akawa active kwa facebook au online kwa whatsup lakini ukimtumia meseji hajibu.
Akiamua anakutafuta tena kwa mapenzi motomoto, nikimuudhi pia hasemi ananuna tuu hivyo hvyo ila siku akikaa sawa ndo anakwambia ulimuudhi kitu fulani kinachonitatizo ni huko kununna bila sababu mnaweza mkaongea vizuri usiku, asubuhi akawa amekasirika.
Hebu mnieleweshe nikwamba hanitaki nijiongeze au maana matumizi nampa ya kutosha kila wiki wenye matusi piteni kushoto kwa hii posti.
Nawasilisha
Habari zenu jamani,

Mi nilikua nalo la hivyo nishalipiga chini ,gubu si gubu,kero tupu
Heheh hilo limtu la zamaniii kabla sijaolewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheheeeee we Gea Habib si umeolewa wewe au?
Heheh hilo limtu la zamaniii kabla sijaolewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua gubu anatakiwa awe nayo mwanamke teynaa kidogoo,sasa mwanaume unakua na gubu ,ngumu kumesaDuh basi kweli hulipendi hilo limtu.