Kipi kina umuhimu kwako, hisia zako au hela?

legend Babushka

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
575
1,236
Habari wanajamvi,

Nimependa kupata mawazo yenu kuhusu mada tajwa hapo juu. Unapokuwa kwenye mahusiano huwa una thamini zaidi hisia kwa mwenzako au una thamini hela na material things?

Asanteni.
 
Hisia..jero inaweza zunguka kwa clara..happy..husna...mwajuma...Asha..annie..glory na wengine ila hisia zinabaki kwa wachache aseeh
 
Mzuka bila hela ni kujidanganya. Penye hela panaongeza mzuka atii. Hisia bila fweza nani kasema?
baambie wasikie
tusidanganyane bhana bora tu mutu iseme ukweli. mie kwanza nikiona msimbazi imejaa mfukoni huwa kiuno kinalegea kisawasawa namzidi feni asee
 
Pesa huja na kuondoka kama wewe hisia zako zinaongozwa na pesa vipi siku pesa zikikataa ni kwamba hakuna mapenzi tena...Ama utarukia mwingine mwenye pesa..Na yeye zikikata?...Pesa zipo tu true love ni kitu cha msingi sina bila kuwa na msukumo wa pesa....
 
Nikigundua mwanamke yupo kwasababu ya pesa zangu. Ntakua namlipa baada ya kumega, ili siku nikimuacha nimpe pensheni kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom