Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,427
Imetokea umeolewa na umeishi na mume kwa miaka michache bila mtoto. Unaanza kusikia pembeni mume ana mtoto, baadae anaamua kukueleza. Unakaa kimya, sasa inakuwa kumuona nyumbani ni shida, na kwakua alishakueleza anakwambia kabisa nilipitia kuwaona watoto. Ni mwache kwa kukiuka kiapo cha ndoa?