mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
Ukipita mitaa mingi ya Dar utakuta matangazo mengi ya kuuza dawa za nguvu za kiume tofauti na mikoani na Dar ndiyo kunaongoza kwa vijiwe vya kuuza supu ya pweza na unakuta vijana wanainywa balaa na kwanini nguvu za kiume tuu hakuna upungufu wa nguvu za kike?