Kila nikikatiza facebook lazima nione post yako, halafu eti unataka ndoa

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,456
12,666
Nimeamua kutoboa siri kazi kwenu, nyie wanawake mu watu wa ajabu sana, utakuta mdada kahamishia ofisi, kitanda, jiko na dressing table yake kwenye mitandai ya kijamii.

Hasa instagram, facebook, tweeter, badoo, jamii forum na social media nyingine.

Kila kona unayo katiza ukosi kapost kitu chake, hasa picture zenye pozi za kutatanisha, misemo yenye ushangingi fulani na kila aina ya vitimbwi na vibweka chungu mbovu

Akifika kwako anajifanya malaika huku akikuona boya fulani, sasa iko hivi boys are more intelligent than you girls shutuka aisei kwa smart man lazima akuspy unafanyaga nini kwa social networks kama hamjui wengi mumeachwa na kubaki midomo wazi huku mkibaki mnalaani hooh ameniacha bila sababu na kulalama kwa mashoga zenu poor you girls.

Addicted social network girls ni ngumu kupatq smart man kiukweli wanaume msituone mtaandaoni tuko very trick wengi wetu tuko huku kujifunza nini wanawake mnafanya huku ili kutusaidia kufanya best choice.

LOOK VERY GIRLS YOU WILL GO WITH WATER..!

Unataka kuolewa mdada badirika katika matumizi ya social networks siyo kila kitu wewe unachangia inatuboa sana sisi wanaume na hatupendi mwanamke mwenye umaarufu wa mitandao.
MWENYE MASIKIO NA ASKIE AJALENGWA MTU MAHUSUSI UKIGUSWA SIYO MBAYA PIA..
 
Anapost nini? anacomment nini? je picha za uchi labda? ama amejiwekaje? halafu kumbe na wewe kote huko upo mitandao yote hiyo? watu wengi wakiwa wapweke huwa wanachat sana kuchangia mada tu ilimradi dakika masaa zisogee! hawamaanishi sana! akiwa busy na wewe na familia watoto hawezi kuwa hivyo labda kwa tabia za special cases. pia unaonekana una gubu sana ulishindwa kumwambia? nimejaribu kupitia post zako mtoa mada nikagundua
.kila jambo ufanyalo unatupia humu hata msosi
.ukitaka kutongoza n.k zipo mada nimeziview tu juuu juu kupata kuelewa userious wa mada yako.
kumbe ni wale wale unaolalamikia! kwa post zako kadhaa title zake tu hutapenda azione kwakweli atastaajabu huyo mwenzio
 
Ni upuuzi kuishi as if huna kitu cha kufanya, mitandaono muda wote utawaza lini mambo ya maana na sifa A mke bora sina uhakika km ni pamoja na kutoa michango mingi mtandaoni

Kitu kingine mkuu mtu mwenye maono hana muda kukaa na kufikiri robotatu ya siku yake mitandao na pia ukiona anakosa cha kufanya anaona kusogeza masaa kwenye mtanda whch means kwake muda unamtosha na hana cha kufanya ndiyo walewale, siyo kwamba asitumie mitandao shida kila kitu yupo kutoa mchango ushapu mshamba huo.
 
Mitandao si mibaya itategemea na jinsi mtu anavyoitumia tu...Mahali unapoweza kukutana na watu wengi tofauti tofauti ukiitumia urafiki huo vizuri ni fursa moja nzuri sana hata kufanya biashara...
Upuuzi ni kujifanya bigwa wa kuchangia na kupost vitu vya kijinga, fikiria demu wako ndiye bingwa wa kuongoza mijadala ya kufanya mapenzi, mtuma picha zenye utata, na ujawahi kumsikia akihohi issue ya maana ya kimaendeleo au kimaisha utajisikiaje au utaonaje kuendelea naye..!
 
Ni upuuzi kuishi as if huna kitu cha kufanya, mitandaono muda wote utawaza lini mambo ya maana na sifa A mke bora sina uhakika km ni pamoja na kutoa michango mingi mtandaoni

Kitu kingine mkuu mtu mwenye maono hana muda kukaa na kufikiri robotatu ya siku yake mitandao na pia ukiona anakosa cha kufanya anaona kusogeza masaa kwenye mtanda whch means kwake muda unamtosha na hana cha kufanya ndiyo walewale, siyo kwamba asitumie mitandao shida kila kitu yupo kutoa mchango ushapu mshamba huo.

umejaribu kumtafutia chakufanya mkuu? tusilalamike tu na hawa viumbe! je wewe penzi lako halijapwaya kweli ndo maana yuko idle? akiwa busy hatokuwa na huo muda!
 
hivi kwani kuolewa lazima???? Naona mnatusimangia ndoa as if nyie mnatupa hisani kutuoa???? Mume wa mtu anapangwa na Mungu hata kahaba kama amepangiwa kuolewa ataolewa tu sio kwa mivigezo miiingi isiyokuwa na tija. Nipo mwaka wa tatu kwenye ndoa na sijawahi kumuona mme wangu anafuatilia huu upuuzi simply coz he is so bussy kusaka mshiko.
 
We jamaa vipi? Nimtafutie cha kufanya kivipi? mtu ni demu wangu tu yuko kwenye uangalizi km anafaa kuwa mke alafu tabia zake ndizo hizo kupenda umbea mitandaoni eti nimtafutie cha kufanya kwani mie mzaziwe nini? Kama hawezi kujiongeza nikamuona potential akafie kwa wengine siyo kwa bigmind!
 
hahahaha eti akafie kwa wengine umenifanya niharibu kazi kwakucheka hebu nifanye kazi za watu dogo mie nlishaoa kitambo nachat na yeye anachat asiweke tu picha za utupu ama kuaema mambo yetu ya ndani huko! basi na tunaenda poa tu haijaleta madhara kwenye ndoa yetu tumelea watoto 2
 
Ngoja nikaingize ata elfu 20 kwanza afu nitarudi badae pia na mimi..
 
hivi kwani kuolewa lazima???? Naona mnatusimangia ndoa as if nyie mnatupa hisani kutuoa???? Mume wa mtu anapangwa na Mungu hata kahaba kama amepangiwa kuolewa ataolewa tu sio kwa mivigezo miiingi isiyokuwa na tija. Nipo mwaka wa tatu kwenye ndoa na sijawahi kumuona mme wangu anafuatilia huu upuuzi simply coz he is so bussy kusaka mshiko.
You are missing the point, point ya jamaa ni kwamba muwe mnajiheshimu kwenye mitandao, muwe na usiri, msiwe pia mnapayuka ovyo na kuandika post zenye majivuno maringo au masengenyo kwenye mitandao, maana mwanamke wa namna hio atakua msumbufu baadae.. kuwa mwelewa sista.
 
wewe kuwa makini marinda itafumuliwa mwanamke nani?
 
Back
Top Bottom