Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mapenzi yana siri kubwa. Kila mmoja ana ugonjwa wake wa kupenda. Wengine wanawapenda wapenzi warefu, lakini kuna kundi ambalo huchanganyikiwa zaidi kwa wafupi.Pamoja na mchanganuo huo, kuachwa...
7 Reactions
8 Replies
4K Views
Nina matukio mawili ambayo kamwe siwezi kuyasau maishani mwangu La kwanza ni kwamba ilikuwa msiba ukitokea MTU anatumwa kwa baiskeli kupeleka taarifa kwa ndugu wa mbali,mwaka 1996 nikiwa std...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ulikuwa na mpenzi wako, unampenda sana, unamjali lakini pasipo kutegemea akakupiga kibuti tena kwa dharau sana. ... Ukatulia tu! Baada ya muda ukasikia kwamba huko alikokimbilia amepigwa kibuti...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Hi I am a man aged 23 years old. I am a Tanzanian. I am still attending my studies at a certain institute here at DSM. Am here looking for any single girl with the equivalent age as stated...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
f.c.k.u
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Ndugu zanguni wiki yangu imeanza vibaya nioneeni huruma, Jumamosi nilipata ugeni wa mama mkwe wangu bila ya kupewa taarifa lakini ugeni huu umekuwa mtihani kwakweli leo nimetumia 10,000 kwa mlo...
1 Reactions
78 Replies
8K Views
Nyie Wadada mnaovaa makalio ya Bandia wakati mnajua kabisa huku nyuma una BAPA,mnapataje shida muda wa 'mahanjumati' kuyaficha hayo magodoro yenu na kuogopa kuombwa Doggy??? Maana aliona MTUNO...
10 Reactions
60 Replies
9K Views
Habari za muda huu wanajamii?? Leo nimekuja kuomba namna ya kumshauri huyu rafiki yangu hapa kazini kwetu. Nina rafiki yangu mmoja (girlfriend wa kawaida tu) na pia ni mke wa mtu. sasa tangu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu habari ya wakati huu. Naomba kujua hivi ni kweli ma gold diggers huwa wana fall in love kwa mtu katika maisha yao? Maana mimi huwa naona akili yao iko kwenye pesa zaidi kuliko mapenzi...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wapendwa wangu, Mimi nipo hapa sihitaji ushauri ila nataka niwasimulie kidogo lililonitokee, sababu sijamwambia mtu imenibidi niwadokezee. Mimi ni mama wa watoto 2 na nimeolewa na ndoa...
11 Reactions
154 Replies
16K Views
Tulipendana sanaaaa since 2012 Ila alianza kubadilika alipoenda kusomea nursing na kilikuwa chuo cha boarding, kumbe huko alikuwa anatoka kimapenzi na mwanaume mwengine ambaye ni mme wa mtu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nilikuwa nipo kwenye misafara yangu ya kikazi nikipanda ndege ya shirika moja maarufu la duniani kwa usafiri wa vyombo vya angani (jina tutalistahi), nikisafiri toka jiji moja la taila la ulaya...
19 Reactions
56 Replies
5K Views
Jamaa na rafiki yangu nafanyanae kazi katika ofisi moja, aghalabu uenda nyumbani kwake kupata chakula cha mchana kwakuwa anakaa jirani sana na ofisi yetu. Juzi tulipata lunch pale kwake kisha...
3 Reactions
75 Replies
7K Views
Inasemekana endapo utakutana na Mtoto wa Kike awe Msichana ambaye bado haja vunja ungo ila anakaribia au Mwanamke mkomavu tayari ( Mtu mzima ) akiwa hawezi kuyafanya haya nitakayo yaorodhesha hapa...
4 Reactions
58 Replies
7K Views
MSIFIE MWENZAKO Wanaume wengi hupuuzia hili, huona kama ni jambo lisilo na maana sana kwao na wenzi wao. Hali ni tofauti sana kwa wanawake ambao hupenda kuwasifia wanaume zao. Nitakupa mifano...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
Nilienda kijijini kumtembelea mjomba wangu hukooo mikoani. Alikuwa ni mfugaji wa ng’ombe maarufu mkoani huko. Huwa akiuza ng’ombe wake pamoja hata na miradi ya kuuza maziwa kwenye viwanda vya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Atakua na simu yake mpo nyumbani dakika hiyo anakwambia umbip hajui kaiweka wapi. - Tuhurumie Baba 2. Ana Nguo zimejaa makabati mawili lakini hajui avae nini ukimwambia mtoke! - Baba, ni...
17 Reactions
69 Replies
7K Views
Mzee mmoja (kwa jina tutamhifadhi) aliyekuwa akiishi huko visiwani Pemba alibahatika kuoa wake wanne…. (Aaah bwana usimsimange, wanaruhusiwa kuowa wake wanne!) Tutasema kubahatika maana kuoa ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
1. Mitandao ya Kijamii Wanawake wanapenda kupata attention za watu, hasa wanaume na kuona ni watu wangapi wanawakubali na kusupport wanachokifanya. Vingi vya vitu wanavyotaka attention na...
40 Reactions
110 Replies
12K Views
Nina swali kwa wanawake mlioolewa halafu mnafanya kazi. Mnaishi vipi? Maana mimi nahisi nakaribia kupoteza kimoja ie ndoa. Kwa week nafanya kazi siku sita narudi usiku nimechoka bado kazi za...
12 Reactions
380 Replies
34K Views
Back
Top Bottom