Utajisiaje?

Utajisiaje?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Ulikuwa na mpenzi wako, unampenda sana, unamjali lakini pasipo kutegemea akakupiga kibuti tena kwa dharau sana. ... Ukatulia tu!

Baada ya muda ukasikia kwamba huko alikokimbilia amepigwa kibuti cha design ile alokufanyia wewe? ...
Utajisikaje?
Utamtumia ujumbe wa pole?
 
Pole ya Nini??? Akianza kujileta kwako je?
 
Kwanini ufuatilie maisha ya mtu kiasi hicho? Umeachwa tulia fanya yako.
 
Usifurahie wala usimpe pole na usimfatilie.... Songa mbele na yako
 
We uchune endelea na maisha yako. Haina haja hata ya kumpa pole. We kwan ulipopewa kibut kuna x wako yeyote alikupa pole?
 
Back
Top Bottom