Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilienda kijijini kumtembelea mjomba wangu hukooo mikoani. Alikuwa ni mfugaji wa ng’ombe maarufu mkoani huko. Huwa akiuza ng’ombe wake pamoja hata na miradi ya kuuza maziwa kwenye viwanda vya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Atakua na simu yake mpo nyumbani dakika hiyo anakwambia umbip hajui kaiweka wapi. - Tuhurumie Baba 2. Ana Nguo zimejaa makabati mawili lakini hajui avae nini ukimwambia mtoke! - Baba, ni...
17 Reactions
69 Replies
7K Views
Mzee mmoja (kwa jina tutamhifadhi) aliyekuwa akiishi huko visiwani Pemba alibahatika kuoa wake wanne…. (Aaah bwana usimsimange, wanaruhusiwa kuowa wake wanne!) Tutasema kubahatika maana kuoa ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
1. Mitandao ya Kijamii Wanawake wanapenda kupata attention za watu, hasa wanaume na kuona ni watu wangapi wanawakubali na kusupport wanachokifanya. Vingi vya vitu wanavyotaka attention na...
40 Reactions
110 Replies
12K Views
Nina swali kwa wanawake mlioolewa halafu mnafanya kazi. Mnaishi vipi? Maana mimi nahisi nakaribia kupoteza kimoja ie ndoa. Kwa week nafanya kazi siku sita narudi usiku nimechoka bado kazi za...
12 Reactions
380 Replies
34K Views
Kama unafanya kazi zote za ndan mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli? Unatoka job umechoka wife yupo na anasema amechoka unajipikia unatenga mwenyewe chakula na maji ya kuoga, na ukifika...
3 Reactions
164 Replies
12K Views
On Saturday, baada ya kumaliza mizunguko yangu niliamua kukaa kwenye joint flani hivi inasifika sana kwa kitimoto choma nikatoa order na kuchagua sehemu nikakaa nikawa nakunywa bia taratibu...
15 Reactions
358 Replies
29K Views
Habari za leo waungwana? Naomba ushauri. Assume wewe ni mtoto wa kiume uliyezaliwa nje ya ndoa. Ikatokea ukafunga ndoa. Mkiwa kwenye sherehe ukumbini, MC akakutaka uwatambulishe ndugu zako. Hapo...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Jamani niwashirikishe kituko kilichonitokea siku za hivi karibuni. Nina dada mmoja niko na mahusiano naye kwa miaka miwili iliyopita. Siku za hivi karibuni amekuwa akiniomba tufanye mapenzi...
9 Reactions
172 Replies
27K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, Nina msichana wangu yupo rahisi sana. It seems kila mtu akimwongelesha anampata but yeye anadai tuoane. Napata wakati mgumu, nifanyaje...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
tena! uuuuuuuuwi tena. "Wife" kaja juzi bana kwa ghafla sana geto usiku maana alikuwa likizo, yeye ni mwanachuo katika chuo kimoja hivi hapa jijini. Basi kwa kujua nina conversation na picha za...
2 Reactions
65 Replies
8K Views
Mmekuwa mkituponda huku kila siku hamjui sie tumewaweka tumboni miezi 9 na wakagi wa kujifungua hatukubana miguu mkafa ,muwe na adabu bana .heshima kwetu wote wanawake ujumbe wenu huu hapa
13 Reactions
84 Replies
8K Views
Hello guys, Ishantokea mara nyingi utakuta ww na demu ni marafiki tu wa kawaida hlf inatokea unamuomba huyo demu namba ya rafiki yake wa kike anakunyima, anakwambia ukamuombe mwenyewe, au anaweza...
2 Reactions
30 Replies
8K Views
Wanasayansi hao wamefaulu kutengeneza watoto wa panya kwa kutumia mbegu za kiume na kuziunganisha na seli za kawaida kwa kuzidanganya kudhani kwamba zitatungisha mayai ya kawaida ya uzazi wa panya...
0 Reactions
5 Replies
841 Views
salama? ivi kwann unapomtaka MTU awe Wa kike au kiume unamwona mzuri,dhahabu na masifa kedekede ila ukishampata yaan kusex nae tena after to score/kupiz unamwona Wa kawaida...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Cheating isn't always kissing, touching, or flirting. If you gotta delete text messages so your partner won't seem em, you're already there. Muwe na wikiend njema.
2 Reactions
30 Replies
4K Views
INAUMA SAANA SOMA NI MUHIMU SANA. HATARI! HATARI. Polisi inawashikilia vijana 33 kwa makosa ya kuwahadaa wasichana kimapenzi ieleweke hapa kosa sio kuhadaa ila ni KUWABAKA. Vijana hao almaarufu...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salaam sana, Leo tuwaseme wanawake wengi mmekua na vitambi na vimekaa kama mifuko ya pamba havina square yani mnamatumbo makubwa, hadi hamvutii kitandani mnadhani tumeumbwa kuning'inia...
14 Reactions
90 Replies
9K Views
Kwenye mahusiano kuna milima,mabonde na tambarare, kuna wakati inabidi tuwaache tuwapendao wapotelee mbali kutokana na tabia zao za ajabu. Kwa mfano mimi nilikuwa na msichana ambaye kila akitaka...
6 Reactions
215 Replies
24K Views
Kuna kipindi unajiuliza kama shetani bado yupo kuzimu au naye kaamua kuja duniani kuongeza mashambulizi kwenye lango la watu wa Mungu. Unajua? ni kama mechi ya mpira na Team ya Shetani na ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom