X girl wangu anataka turudiane

X girl wangu anataka turudiane

mzeesam

Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
97
Reaction score
78
Tulipendana sanaaaa since 2012
Ila alianza kubadilika alipoenda kusomea nursing na kilikuwa chuo cha boarding, kumbe huko alikuwa anatoka kimapenzi na mwanaume mwengine ambaye ni mme wa mtu,
Penzi lao lilinogaa na walipendana sanaa mpaka yule demu akaanza kupunguza mapenzi kwenye japo yeye alikuwa akijinadi kuwa ananipenda sanaa n.a. mm ndiye mume wake,

Nilikuwa sijui hili wala lile ila za mwizi ni 40, baada ya kumaliza masomo yule binti alipangiwa chumba hukohuko mkoa na huyo mwanaume, jamaa ikawa akijickia kuchupuka basi anaenda Kulala na demu wangu [emoji22]

SASA KUNA SIKU NILIPIGA SIMU YAKE USIKU NA IKAPOKELEWA NA HUYO JAMAA BASI TUKAZOZANA SANAAA , KIBAYA ZAIDI HATA HUYO JAMAA HAKUJUA KAMA DEMU YUPO NA BOYFRIEND YAANI DEMU ALIMWAMBIA YULE MME WA MTUUU KUWA YEYE YUPO SINGLE,

Tulizozana SANAAA mwishowe tukaongea kistaharabu mm na yule mwanaume na tukayamaliza
Mm niliamua kuachana na yule msichana na yule JAMAA pia aliamua kumuacha yule JAMAA kwa KUWA alidanganywa japo alishahudumia SANAAA kwa kujua hana boyfriend

SASA wote tumemuacha ila cha ajabu anaomba msamahaaa kwa wote na anataka aendeleee kutumiliki wote wawili
 
Mkuu mbona wanawake wako wengi sana alafu warembo mnooo... Mimi nilishaacha kuumiza kichwa juu ya habari kama hizi..... Akipita kulia napita kushoto.... Maisha yanaendelea...
 
I see unaomba justification ya kurudiana na Kimeo chako, kirudie kikuuwe vizuri uje utupe mrejesho
 
Wewe unataka nini! ! Unatoa taarifa? Au unaomba ushauri sijaona sehemu yenye uhitaji wa lolote.
 
Izi hadithi zenu wakati mwingine muwe mnaishia kudanganyana uko uko Facebook
 
Tulipendana sanaaaa since 2012
Ila alianza kubadilika alipoenda kusomea nursing na kilikuwa chuo cha boarding, kumbe huko alikuwa anatoka kimapenzi na mwanaume mwengine ambaye ni mme wa mtu,
Penzi lao lilinogaa na walipendana sanaa mpaka yule demu akaanza kupunguza mapenzi kwenye japo yeye alikuwa akijinadi kuwa ananipenda sanaa n.a. mm ndiye mume wake,

Nilikuwa sijui hili wala lile ila za mwizi ni 40, baada ya kumaliza masomo yule binti alipangiwa chumba hukohuko mkoa na huyo mwanaume, jamaa ikawa akijickia kuchupuka basi anaenda Kulala na demu wangu [emoji22]

SASA KUNA SIKU NILIPIGA SIMU YAKE USIKU NA IKAPOKELEWA NA HUYO JAMAA BASI TUKAZOZANA SANAAA , KIBAYA ZAIDI HATA HUYO JAMAA HAKUJUA KAMA DEMU YUPO NA BOYFRIEND YAANI DEMU ALIMWAMBIA YULE MME WA MTUUU KUWA YEYE YUPO SINGLE,

Tulizozana SANAAA mwishowe tukaongea kistaharabu mm na yule mwanaume na tukayamaliza
Mm niliamua kuachana na yule msichana na yule JAMAA pia aliamua kumuacha yule JAMAA kwa KUWA alidanganywa japo alishahudumia SANAAA kwa kujua hana boyfriend

SASA wote tumemuacha ila cha ajabu anaomba msamahaaa kwa wote na anataka aendeleee kutumiliki wote wawili
Maajabu
 
sasa majibu yote unayo? ila asante kwa story yako mkuu.
 
dah! mvulana! yaani kabisa unakuja kuomba ushauri kwa kitu ambacho unajua kinakupotezea muda? yaani hujui unatakiwa kufanya nini katika maisha yako? achana naye anakupotezea muda na hana mapenzi ya kweli na wewe
 
Kama kweli umemfuma na hujui la kufanya mpaka sasa...basi hapa unatupima akili...na sisi kukuonyesha kuwa hatunazo tunakushauri ''MRUDIE UMUOE''
 
Back
Top Bottom