Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

KANUNI 30 KWA WANAWAKE NDANI YA NDOA 1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima. 2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Inakuaje mwanaume unatumia vijineno kama mwaya, mie, jamani, nimekumisije. Tena unamwambia dume mwenzio eti umemmiss. Haipendezi haya maneno ya kike bana tuwaachie wanawake. Shukrani
12 Reactions
179 Replies
29K Views
Wana JF napenda kutumia fursa hii kuomba kupata ushauri wenu.mm kijana ambaye Nina maisha ya kawaida sana.kama ilivyo desturi unapofika muda fulani ,kama kijana inakubidi kuwa Na mke ! Katika...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Tupende wake zetu
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Salaam wakuu Yapata miezi 3 sasa nimekuwa sielewani kabisa na mke wangu tofauti na siku za nyuma nikawa najiuliza maswali mengi kuliko majibu!!! Nikaanza kuchunguza nini kiko nyuma ya huyu...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Ninajitolea mbegu za kiume kwa mwanamke ambaye anahitaji mtoto na mumewe/mpenzi wake hana uwezo wa kutunga mimba. Mwenye kuhitaji awe tayari tupime afya kwanza. Nitafute inbox for more info.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ambonyi, Leo Kama ilivyo Ada ya kila mwisho wa week siku Kama ya leo nilikuwa nimekaa mahali napata tuchupa twangu tuwili tutatu. Kwa pembeni yangu akaja mzee wangu wa siku nyingi, akanijoin...
10 Reactions
89 Replies
8K Views
Ndugu wana jf salamu! Bila shaka mmekuwa na wiki njema, na mnaendelea vizuri na weekend. Ndugu zangu mimi maisha yameniwia kama juisi ya pili pili kwa mtoto mchanga, ni machungu sana Hayana...
2 Reactions
86 Replies
6K Views
kama kichw cha hbr kinavyojieleza natafuta mwanamke wa kuoa sifa zake ni kama ifuatavyo; -awe na umri w miaka21 -mweupe -mrefu kiasi asiwe mrefu sana wala mfupi sana -asiwe mnene sana
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu kuna watu huwa hawathamini mahusiano pindi wanapokua kwenye mahusiano, anafanya ubaya kwa makusudi au ata kama sio makusudi basi ni kitu ambacho kilikua na uwezo wa kuzuilika afu...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
You are the one am looking for. A lady with the age of 25 and not above 35, A Christian, Went to school preferably Degree Holder, Self employed or employed somewhere... I am Tanzanian Man of 34...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakubwa zangu shikamooni! IGWEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!! Kijana Mkatakiu barua yako tumeipata, na ujumbe umetufikia walegwa ila haujakubalika asilani!!!!!!!! Sio kwamba uliyoyasema ni mabovu...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Sijaoa naishi na mwanamke ambaye japo anatabia zinazonikera najitahidi kuvumilia tabia nisizozipenda ni kama hizi; Ubanaji wa matumizi anajibana kama anajenga lakini sijaona cha maana anachonunua...
8 Reactions
54 Replies
8K Views
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ijumaa Kareem, Woza friday, Leo naongea na nyinyi wadada kwa sababu hili inaelekea Kuwa ni janga la kitaifa ni lazima tuulizane tatizo ni nini? Kwanza kabisa ningependa kuwapa credit wadada wote...
11 Reactions
71 Replies
6K Views
Nshachoka na stress za kuumizwa Na wenye ndoa zao! Ni mkristo ila sio mlokole! Naishi Ng'wanza, Ni mjasiriamali naomba aliye serious aje Pm. Sipendi kelele wala sijalibiwi!
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Hellow...refer the heading above[emoji4] Unakuta ya kwamba mko katika serious mahusiano, ngoja nitoe na majina ya mfano, juma na asha. juma alikua na kazi, so kwa uwezo wake alikua amatimiza...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanawake wa sasa kweli wa mwendo kasi,kweli bila pesa utaishia kuita shemeji,hivi ushawaji jiuliza kila beibe ukiiwekea ulimbo unanasa wewe(cha mbavu),mpaka unaanza kudhani labda ule ubavu wako wa...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwa mtazamo wangu hawa nathubutu kusema ni ma-super star wa MMU, tuwatathamini kwa mada au comment zao nani mkali zaidi ya mwenzake, kwa men unaruhusiwa kuvuta hisia kwa kupima comment zao nani...
4 Reactions
318 Replies
26K Views
Back
Top Bottom