shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 724
- 1,527
Nina matukio mawili ambayo kamwe siwezi kuyasau maishani mwangu
La kwanza ni kwamba ilikuwa msiba ukitokea MTU anatumwa kwa baiskeli kupeleka taarifa kwa ndugu wa mbali,mwaka 1996 nikiwa std seven,kaka yetu mkubwa toka kwa mama mkubwa alifariki kwa kupigwa na radi,nikaagizwa Kupeleka taarifa kwa bibi kama 100 km,niliwahi sana na kupigwa na mvua ,lakini nilifanikiwa kufika though some how late,nilivyofika nikakuta watu wengi wamekusanyika kwa bibi huku wengine wakilia,nikajua wamepata taarifa kumbe bibi alikuwa amefariki na walikuwa wanafanya maandalizi ya kutuma MTU kuja kutoa taarifa,ilikuwa ni huzuni kubwa sana
Tukio la pili,1997 mwezi wa sita nilivyorudi tu toka shule ya boarding kuna kabinti nilikuwa nakavizia ,nikawa sipati nafasi ya kuonana nae,nikaamua kwenda kwao mida ya jioni nikawa najibanza ukutani,Mara nikasikia mtu akisogea nikiwa kwenye kona nikajaribu kuchungukia ili nione ni nani,nikashangaa maji usoni Waaaa,yalikuwa ni maji ya masizi Dada MTU alikuwa anamwaga ili aoshe sufuria,alishituka kwani sauti Mamaaaa polee ,familia nzima ikatoka nje, mwanaume nimeloana vibaya na maji pamoja na aibu,nikajifanya kuna kuku kapotea so namtufuta,nikaindoka kwa aibu,Vingi akiniangalia kwa huruma,light kama CMU zingekuwepo