Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mambo vipi watanganyika wenzangu? Naomba kuelimishwa,hvi inapotokea umesafiri then ukawa umerudi,afu ukakuta nyumba chafu na nguo nazo chafu afu ukamuomba mpenzio aje kukusaidia usafi na badala...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama wewe na mdada wa makamo unakaribishwa hili tuwe tunashauriana na kushare mambo mbali mbali ya maisha. Mimi ni mkaka, miaka 26 nashukuru Mungu ninafanya kazi zangu mwenywe (Biashara), Ni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukitaka kuishi na mke wako bila kukwaruzana inabidi ufanye jambo moja rahisi sana mimi na mke wangu ndani ya nyumba maongezi yanakuaga hivi: Mke: baby huyu mtangazaji simpendi sjui yupoje hajui...
24 Reactions
121 Replies
10K Views
Me npo iringa mwanamke wa dini yeyote,kabila lolote,awe ameajiriwa miaka18 had24 me nimejiajiri ktk kampuni zangu Nina miaka26 pia nasubir ajira ya maguful interested women ani pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za asubuhi mabibi na mabwana. Maandiko matakatifu yanatueleza kuwa, ndoa ya kwanza ilianza katika bustani za Eden kati ya Adam na Eve (Hawa). Mungu alimwambia Adamu nitakuletea msaidizi...
18 Reactions
45 Replies
7K Views
Ukweli usemwe. Ndoto ya kila mwanaume katika hii dunia wakati mmoja au mwingine hufikiria kuwa na kipawa cha kuweza kumzuzua mwanamke yeyote anayemzimia. Uzuri ni kuwa hauhitaji kuwa tajiri ama...
1 Reactions
53 Replies
11K Views
Kale kamsemo kavijana wa mjini kuwa eti hainaga ushemeji tunakulaga mie napinga ushemeji upo na shemeji ataheshimiwa kama kawaida
6 Reactions
26 Replies
6K Views
Malalamiko ya single mother kuwa majanga ukiwaoa yameongezeka sana but naomba niwape ukweli na kuwasaidia Kwanza hata mseme kuwa hampashi vipolo na wazazi wenzenu au mseme hilo wanalifanya...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu... Kama ukiona mwandani wako anakukosea na anakuomba msamaha lakini anarudia kosa hilo tena na tena washa taa nyekundu maana mtu wa aina hii huwa kuna kauli huwa zinazunguka kichwani...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
This is for you my love..... Tonight I celebrate my love for you It seems the natural thing to do Tonight no one's gonna find us We'll leave the world behind us When I make love to you Tonight I...
5 Reactions
107 Replies
8K Views
natafuta mchumba Muislam awe mzuri,umri usizidi 23yrs,elimu kuanzia form 6 na kuendelea,mimi ni mtumishi serikalini,Awe anasoma au anafanyakazi au biashara,kwa aliye serious aje PM au email...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yaani kila akiolewa au ukiwa mchepuko wa mtu huyo mume anakufa kiajabuajabu kimazingara. Na dawa yake nini.na kuna jina maalumu kwa hao?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wana jf,kuna siku nilikuwa sehemu fulani napata chakula la jioni bahati nzuri hapo hapo nikakutana na binti mmoja mrembo, sio siri nilivutiwa nae ili nimuombe faragha tuzungumze ili...
5 Reactions
130 Replies
8K Views
Kuna rafiki angu ni mfupi wa kati lakini amempata binti wa kichaga ambaye anaupendo sana kwake lakini ni mwembamba alafu ni mrefu kidogo dhidi yake. Jambo la kushangaza ni kwamba mwanaume...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Geah Habib akiwa maeneo ya Kiwalani jijini Dar es salaam, amekutana na stori ya dada na kaka waliopigana kisa kikiwa ni Kaka kudai dada yake akiwa na mumewe chumbani...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Wako wapi?au napishana nao nini?Niko nao mtaa tofauti?yaani wanawake ninao date nao mimi siku akikuchangamkia either atahitaji hela very soon au umetoka kumgea hela Aisee Mungu anawaona wanawake...
10 Reactions
85 Replies
9K Views
Naombeni mchango wenu, Hivi kumiliki msichana mzuri unatakiwa uwe na pesa, bahati au uwe handsome maana mimi ni handsome lakini pesa sina na nikibahatika kuwa na msichana mzuri basi anakuwa na...
5 Reactions
220 Replies
31K Views
Miaka ya nyuma nilikuwa na mahusiano na mpenzi wangu tulibahatika kupata mtoto 1 lakini bahati mbaya tulikuja achana kila mtu akaendelea na maisha yake, huyu mzazi mwezangu akaja kupata mwanamke...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Vijana wanapo maliza elimu ya sekondari wenye bahati hujiunga na elimu ya kati na ya juu. Ikumbukwe kuwa sekondari nyingi wanafunzi huishi chini ya sheria kwa uangalizi wa walimu, wazazi na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
habari Ikiwa mara nyingi Mwanamke akionyesha ananipenda sana na kunijali sana afu anakua hana mpango na kuniomba Pesa ,kumtoa out,kumnunulia kitu flani namfukuza kabisa,nahitaji niombwe pesa na...
5 Reactions
101 Replies
6K Views
Back
Top Bottom