Hivi 'gold diggers' pia huwa wanapenda mtu?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,968
Wakuu habari ya wakati huu.

Naomba kujua hivi ni kweli ma gold diggers huwa wana fall in love kwa mtu katika maisha yao? Maana mimi huwa naona akili yao iko kwenye pesa zaidi kuliko mapenzi.

Nimeuliza hivi kwa sababu niliwahi kua na mahusiano na gold digger mmoja badae nikavunja yale mahusiano kutokana na huyo gold digger kutaka kunifilisi.

Cha kushangaza huyo gold digger hajaacha kunitafta kila mara ananilalamikia kua alinipenda na bado ananipenda nimemuumiza moyo wake na lawama nyingine kibao ingawa najua yuko kwenye mahusiano na jamaa mwenye mpunga mrefu sana.

Najiuliza hivi ni kweli anachokisema, maana kama ni matunzo na mpunga jamaa alienae yuko vizuri mara hata 1000 kuliko mimi. Kiukweli hajaacha kunijulia hali na kunifafta ingawa tuna mwaka na ushee toka nimevunja mahusiano.

Nawazo yenu na uzoefu wenu, yawezekana kweli huyu gold digger akawa ananipenda kweli?
 
Inawezekana akawa anakupenda kweli ila njaa ndo ilimfanya akupige mizinga.

Unaweza ukampa nafasi kama unahisi unamuhitaji.

Na ukimpa nafasi muwezeshe hata kwa mawazo kitakachomfanya aingize pesa apunguze mizinga.

Kumbuka hata wanaume ambao ni gold diggers wapo pia.
 
Huwa wanapenda, shida ni kwamba huwa hawaachi kupenda vyote viwili kwa pamoja!Yaani pesa na huyo mtu!So akipata wa hela tu hatoshi, na akipata asiyempenda bali anayemvutia naye hatoshi
 
Okay, nimekupata mkuu.
 
Huwa wanapenda, shida ni kwamba huwa hawaachi kupenda vyote viwili kwa pamoja!Yaani pesa na huyo mtu!So akipata wa hela tu hatoshi, na akipata asiyempenda bali anayemvutia naye hatoshi
Sasa huyu atakua kanipendea nini mimi maana hela sina ndio maana niliona sitaweza kumtunza huyu mrembo kwa mizinga yake nikaamua kuvunja mahusiano.
 
Wanapenda kuendana na mpunga au shughul ya 6*6 msingi kiuno muda mwingine kwa hawa watu
 
Huna hela kaa pembeni achana na mapenzi ka date mbuzi acha wenye hela wahonge!!
 
Nao wanapenda ila wanapenda hela zaidi
 
Ulifanya jambo jema kuka pembeni maana huyo usingewezana naye kama huna hela. Even though gold diggers huwa hawaridhiki na hela hata kama uhonge kiasi gani.. Wakikutana na mtu mwingine ana vihela kidogo wanachukua na tunda wanagawa
 
Wakuu habari ya wakati huu.

Naomba kujua hivi ni kweli ma gold diggers huwa wana fall in love kwa mtu katika maisha yao? Maana mimi huwa naona akili yao iko kwenye pesa zaidi kuliko mapenzi.

Nimeuliza hivi kwa sababu niliwahi kua na mahusiano na gold digger mmoja badae nikavunja yale mahusiano kutokana na huyo gold digger kutaka kunifilisi.

Cha kushangaza huyo gold digger hajaacha kunitafta kila mara ananilalamikia kua alinipenda na bado ananipenda nimemuumiza moyo wake na lawama nyingine kibao ingawa najua yuko kwenye mahusiano na jamaa mwenye mpunga mrefu sana.

Najiuliza hivi ni kweli anachokisema, maana kama ni matunzo na mpunga jamaa alienae yuko vizuri mara hata 1000 kuliko mimi. Kiukweli hajaacha kunijulia hali na kunifafta ingawa tuna mwaka na ushee toka nimevunja mahusiano.

Nawazo yenu na uzoefu wenu, yawezekana kweli huyu gold digger akawa ananipenda kweli?
Kuna moja kati ya stori za lara 1 aliandika 'wanawake wanapenda ambacho huna' hio line ilinikaa sana. Ukijua mambo huna pesa atampenda mwenye pesa, ukiwa na pesa hujui mapenzi etc atampenda asie na pesa fundi wa mapenzi.
 
nafikiri hii ina apply kote na katika kila muktadha wa maisha....amabcho unacho tayari hakikupi motisha tena!
ref. Abraham Maslow na 'Motivation'.
Maybe alifikiri anakupenda wewe,tayari akakupata.nini kinampa mshawasha tena wa kuendelea kua na wewe!? definetly kile ambacho huna na hawez kkukipata kwako.
 
Jambazi ni Jambazi hawezi kupenda labda jamaa hahongi kama wewe ingawa ana uwezo mkubwa wa kifedha mkuu
 
nafikiri hii ina apply kote na katika kila muktadha wa maisha....amabcho unacho tayari hakikupi motisha tena!
ref. Abraham Maslow na 'Motivation'.
Maybe alifikiri anakupenda wewe,tayari akakupata.nini kinampa mshawasha tena wa kuendelea kua na wewe!? definetly kile ambacho huna na hawez kkukipata kwako.
Maslow's hierarchy of need mkuu.
Kuna kitu jamaa aliita regression satisfaction process na progression satisfaction process.

Mahitaji vs motisha.
Uhitaji wa Mahitaji ndiyo kisababishi cha kukuletea motisha. Hivyo, unapokidhi hitaji fulani hilo linakuwa sio kisababishi tena cha kukupa motisha maana tayari lipo. Kinachofuata unahangaikia mahitaji ya juu.

Mf. Pesa utakuwa na 10000 utaitamani 100000 ukishaipata una struggle kupata 1m.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom