Wasamehe tu.Aiseee mnatupa tabu na uhandishi wenu embu andika vizuri ueleweke.
Aiseee mnatupa tabu na uhandishi wenu embu andika vizuri ueleweke.
Nifanye nini ili kumsahau rafiki yangu nilio kuwa nampenda namuona kama kaka yangu
Huyo rafiki amekuwa sijui vipi nikimwambia kitu hanijibu nikimshauri hananiangalia tu anijibu Nataka nimpotezee nifanye nini???
Mazoea yani tabu
Kivipi
Kama huna ushauri ni bora kukaa kimyaKi hivi au vile...
Nikimfanyia hivo siatazidi kujiona atazid kunizarauRafiki?
He has hidden agendas. Muite muelezee kinagaubaga unavyojisikia (ana kwa ana)...baada ya hapo utapata maamuzi sahihi.
View attachment 437487