Nini kinawafanya wanawake kuwa majasiri kiasi hiki?

MahedeMkorofi

Member
Jul 12, 2016
74
123
Mwanamke anapotongozwa mpaka anafikia hatua anakubali hadi kwenda kutoa papuchi tena kwa mwanaume ambaye hata alikuwa hamjui anapata wapi huo ujasiri?

Tena hujui mtu ndani ya suruali yake amebeba kitu gani yani wewe unaenda kutoa mzigo tu.

Huu ujasiri huwa unanishangaza sana.
 
Ndo walivo mkuu. Imagine ungekuwa wewe ndo unapigwa sound. Ha ha. Lakini kwa mwanamke anayejielewa lazima atafanya lolote mpaka ahakikishe anakufahamu kwa undani. Lasivo sahau game. Utapigwa calendar mpaka akili zikukae vizuri
 
The history has nothing to do over money and feelings (fake)......

Mkituchunguza mtaishia kutukataa
 
Je na nyie tunavyowakomesha?
Mnajidai penda penda tuu, mnaishiwa kutiliwa madawa, hela zote tunachukua, simu, kila kitu hadi boxer kama ni mpya mpya. Mkiamka hapo madawa yameisha bibie kashaondka na kila kitu.
Unyama unyamani, hapo tunasema kwamba tumetoka sare
 
Mwanamke anapotongozwa mpaka anafikia hatua anakubali hadi kwenda kutoa papuchi tena kwa mwanaume ambaye hata alikuwa hamjui anapata wapi huo ujasiri?

Tena hujui mtu ndani ya suruali yake amebeba kitu gani yani wewe unaenda kutoa mzigo tu.

Huu ujasiri huwa unanishangaza sana.
Sio ujasiri wanatimiza biological responsibility,otherwise jiulize swali hilo hilo kama ni mwanaume,unapata wapi ujasiri wa kumvulia mwanamke usiyemjua chupi? Unaingia kwenye shimo lake bila hofu hujui ndani kuna nini?
 
Mwenyewe huwa nashangaa wanaume kuibukia wanawake hawajui wameeka nini kwenye mapochi yao, unamtokea tu na kumvua nguo bila kujua hata jina lake, sijui ni ujasiri wa kiume au ujinga wa kiume
kwani mlizaliwa mmebeba mapochi? hayo mmeyakuta enzi hizi tuu baada ya biasharaya dona na bange kushamir
 
Je na nyie tunavyowakomesha?
Mnajidai penda penda tuu, mnaishiwa kutiliwa madawa, hela zote tunachukua, simu, kila kitu hadi boxer kama ni mpya mpya. Mkiamka hapo madawa yameisha bibie kashaondka na kila kitu.
Unyama unyamani, hapo tunasema kwamba tumetoka sare
si ndio ujasir anaousemea mleta uzi? unadhani binadam wa kawaidaanaweza kumdhuru mtu anayempenda?
 
Back
Top Bottom