afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,297
- 2,780
Mwanamke anasemekana ni nguzo ya familia yani huilinda na kubomoa nyumba yake kwa mikono yake. Je mambo mambo gani mazuri sana yapo kwa mwanamke na umekutana nayo katika familia au katika mahusiano ya kimapenzi na ukampenda sana na kumu appreciate mwanamke na kumuona mtu mwenye akili sana kwako?