Ushuri: Kawa karibu sana na mimi, je nimuoe?

Ushuri: Kawa karibu sana na mimi, je nimuoe?

Joined
Nov 20, 2016
Posts
70
Reaction score
35
Jamani wapendwa naombeni ushauri,

Nina mpenzi wangu nimetoka nae tangia chuo kipndi tunasoma wote nilikuwa nampenda sana na bado nampenda ila yeye alikuwa ana upendo kama nilivyokuwa nao mimi kwake.

Basi, baada ya kumaliza chuo hivi karibuni nimepata kazi naona ananipenda sana simu Mara kwa Mara na mimi nataka kumuoa je nimuoe au? Naombeni ushauri wenu ndio maana nimekuja huku na kupata mawazo ya watu wengi.

Ahsanteni.
 
Jamani wapendwa naombeni ushauli Nina mpenzi wangu nimetoka nae tangia chuo kipndi tunasoma wte nilikuwa nampenda sana na bdo nampenda ila yeye alikuwa ana upendo kama nlivyo kuwa nao Mimi kwake..basi baada ya kumaliza chuo hvi karibuni nimepata Kazi naona ananipenda sna sim Mara Kwa Mara na mimi nataka kumuoa je.. Nimuoe au...........naombeni ushauli wenu ndio maana nimekuja huku na kupata mawazo ya wtu wengi.asanteni
1.Wewe binafsi huwezi kujisimamia au kuwa na maamuzi binafsi

2. Ulivyomtingiza ulitushirikisha

3. Huna wazazi wako
 
Unaependa ni wewe, unatafuta ushauri kwa watu, sasa watu wakushauri nini, jipime mwenyewe bwana kama mnapendana kwa dhati oaneni?
 
Jamani wapendwa naombeni ushauli Nina mpenzi wangu nimetoka nae tangia chuo kipndi tunasoma wte nilikuwa nampenda sana na bdo nampenda ila yeye alikuwa ana upendo kama nlivyo kuwa nao Mimi kwake..basi baada ya kumaliza chuo hvi karibuni nimepata Kazi naona ananipenda sna sim Mara Kwa Mara na mimi nataka kumuoa je.. Nimuoe au...........naombeni ushauli wenu ndio maana nimekuja huku na kupata mawazo ya wtu wengi.asanteni
Ushauli sina labda ushauri mkuu,kama ndio unaotaka nijulishe nikupe ila kama ni ushauli sina!
 
Jamani wapendwa naombeni ushauli Nina mpenzi wangu nimetoka nae tangia chuo kipndi tunasoma wte nilikuwa nampenda sana na bdo nampenda ila yeye alikuwa ana upendo kama nlivyo kuwa nao Mimi kwake..basi baada ya kumaliza chuo hvi karibuni nimepata Kazi naona ananipenda sna sim Mara Kwa Mara na mimi nataka kumuoa je.. Nimuoe au...........naombeni ushauli wenu ndio maana nimekuja huku na kupata mawazo ya wtu wengi.asanteni
Childish
 
Mke WA kuoa unatafuta ushaur mtandaon?hakika unwtoka chuo cha cherehani.Fanya hivi toa no yake ya SMU .na yako niwashaur vizur
 
Hebu uulize moyo wako kwanza, ukiridhia basi oa, maana sisi hatumjui tabia na wala hatujui nini unapenda kwake, otherwise kama kuna lingine mkuu
 
Baada ya kupata kazi ndio anakupigia Mara kwa Mara...haha watch out mademu wapo kikazi
 
usimuoe kabla haujatembea nae usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia aisee
 
Unahisi kuwa karibu na wewe sana ni kigezo tosha cha kuwa mkeo?
Je kama wewe ni option pekee aliyonayo kwa sasa, na ukizingatia maisha yalivyomagum. Fikiria tena kabla ya maamuzi
 
Hacker Ww ni msambaa??subiri tukufundishe lugha kwanza,Sema Ushauri sio Ushauli[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sasa wewe unajua lugha.. msambaa..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndio nn.? Au lugha ya kwenu mpkani na tz
 
Back
Top Bottom