shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 681
- 1,441
Habari wapendwa,
Nilikuwa na mchumba wangu kwa miaka mitatu iliyopita,ana miaka 25 na mimi 27, nilishajitambulisha kwao na binti na kutoa mahari kama walivyopanga,kikubwa kilichokuwa kimebaki ni kunifunga harusi na kuhamia kikazi ninakofanyia kazi.
Kwa muda mrefu mchumba wangu amekuwa mgumu sana kushiriki nami tendo la ndoa akidai mpaka siku ya harusi,kiukweli ni mtu wa dini sana,nilivumila mwaka wa kwanza tu,nikatafuta single mother moja tukawa tunapumnzikiana,kwa bahati mbaya mchumba wangu amefanya utafiti wake na kugundua kuwa nacheat so ameniambia mimi na yeye ndo basi tena.
Kiukweli bado nampenda sana na tulipanga kufunga harusi mwezi wa 11 na mimi nilikuwa nimepanga kuachana na huyu part time mwezi wa nae au Tisa,naomba ushauri wenu,nimeambiwa kuwa nijiandae kwenda kuchukua mahari trhe 28/7,am really confused, sijamwambia mtu yeyote nyumbani,walimpenda sana binti,binti hataki kabisa kuongea na mimi.
Kama kuna mtu amewahi kuexperience kitu kama hiki tafadhari share nami.