Mapenzi nimekukosea nini?

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,165
2,000
Wakuu,naandika Uzi huu nikiwa na hasira Sana.Mama Chanja ananivuruga Sana aisee..

Kihere here cha moyo,maumivu napata Mie,sihusiki,na wala sina hati.Nasononeka mwenzenu..

Mama Chanja hana tako, Mama Chanja Sio Mnene, Mama Chanja sio Mweusi.Sasa najiuliza,Huu moyo ilikuwaje ukampenda mtu asiye na sifa hizi?? Aiseee.

Ni muda umepita,hatujaonana,nammisi,sidhani km ananimis PIA,naamua kutafuta madem,wakali,wenye figure za haja,nafanyanao ngono,Najitahid kuwapenda,ILA mwisho WA siku mawazo kwa Mama Chanja.Najiona mkosaji mbele yake..

Wakuu,tushaachana na uyu kimwana SI chini ya Mara 20,Kizuri kila tuachanapo,atafuti bwana mwingine na wala hana tabia za kuangaika na wanaume wengine.So uwa tunaludiana mda wowote

Naandika uzi huu Leo,yakiwa yamebaki masaa machache tutimize miaka2 bila kuonana na wote tupo Tanzania.Hivi nimelogwa au n kawaida wakuu??
 

jerryf

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
200
250
Mama chanja kaweka mtu kwenye chupa ya kirikuu chezea mama chanja sio mtu wa sport sport
 

kakamtumishi

Senior Member
Jun 18, 2016
165
250
hujarogwa mkuu,itakuwa mama chanja kanyimwa vingine vya nje km tako lakini pale kati patamu ndo mana unamuwaza sana
 

LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,112
2,000
Hamjaonana 2 years now......Hatafti bwana mwingine....... SMH...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom