Natafuta rafiki wa kike popote

pondiboy

Member
Feb 26, 2014
81
28
Si mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa katika jukwaa hili.
Natafuta rafiki wa kike anayejitambua, awe matured kiakili na kimwili! napenda mtu mkweli mcha Mungu wa kweli, mwenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea.. asiwe above 28yrs old, asiwe mfupi plz maana mm pia sio mfupi.
Lengo ni kuwa marafiki ikimpendeza MUNGU tuendelee na hatua nyingine.

Mimi nina 30yrs old. Ninafanya kazi halahi inayonipatia mkate wa kila siku.
kama upo interested basi ni pm tutafahamiana zaidi..

Note: sio utani wala sihitaji mizaha kama halikuhusu basi pita kimyaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom