Habarini wakuu
nimekuja leo asubuhiasubuhi kuwapeni kisa kilichonikuta juzijuzi
Iko hivi.Kuna michana mmoja nilikuwa naye kwenye mahusiano ila sikuwahi kumtongoza, tulijikuta tunakuwa wapenzi kutokana na yeye kujiweka karibu sana na mimi.
Nakiri kuwa alikuwa anaipenda sana na hadi sasa bado ananipenda mno.Lakini tatizo ni kuwa mimi sijawahi kuvutia nae.Niliingia kwenye mahusiano naye kwa sababu ya kumuonea huruma kwa jinsi alivyokuwa akiteseka kwa ajili yangu
Sasa hivi karibuni nilianzisha mahusiano na rafiki wake wa karibu na haukupita muda akagundua na akanambia kuwa tuachane na abaki kama shemeji tu, na mimi nikamwambia haina shida, siku kama tano au sita hivi akaniamnia kuwa ameshindwa kuvmilia anaomba awe hata mchepuko.nikwambia vyovyote vile ni sawa.Sasa jana rafiki yangu mmoja ameni'fowadia' message aliyomtumia anasema anamipenda lakini ananichukia na siku akionana na mimi atanikata na wemne tumbini
nilipomigia kumuuliza akasema ni kweli alisema ila nimsamehe
kama hupendwi si ukae pembeni
aaaarrghhhh