Kumuelewa mwanamke pita hapa

dekitambi

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
662
1,000
Hello wana JF,

Naomba niende moja kwa moja kwenye MADA kama inavyojieleza;

1. MWANAMKE MKOROFI
Hufanya kile unachomkataza na hufanya tena natena, mara nyingi huwa haidhiki hata umfanyie nini huwa na tabia ya kulalamika ovyo ovyo hupenda kumkalipia mwanaume kila siku.
Furaha yake ni kuona mwanaume anakasilika .
USIOE AINA HII YA MWANAMKE
Kupewa unyumba mpaka ubembeleze sana na akuone macho yamekuwa mekundu.

2.MWANAMKE MWENYE HOFU YA KUSALITIWA
Nimwaminifu alishawahi kusalitiwa au aliwahi kushuhudiawatu u wakisalitiwa,
hupendakukagua simu ya mwanaume mara kwa mara, hunusa nguo kabla ya kuzifua , huwa na wivu uliopitiliza hudiliki hata kupeleleza mienendo yako kwa watu ama rafiki zako
HAPA KAMA UNATABIA YA KUCHEPUKA usioe aina hii .

3.MAMA WATOTO
Aina hii ni ADIMU na ni wachache wanaobahatika kuwapata,
Ni mkarimu, sio mbinafsi
Hupenda kumjali mwanaume na kumtimizia mahitaji yote anayopaswa kupewa, anaheshima pia anajiheshimu,
Hupenda kuja kuwa mke mwema na mama bora wa familia.
POPOTE UTAKAPO KUTANA NA AINA hii weka ndani kabisaa.

3. MWANAMKE MBANA MATUMIZI
Huyu hapendi kuishi maisha ya kifahari hata akiwa na pesa kiasi gani ataendelea kuishi TANDALE kwa mfuga mbwa ,
Huwa na nguo chache afu ni muongeaji sana.
Huyu ukitaka kumpata USITUPIE sana vaa KAWAIDA tu afu mfuate.
HUYU USIMUOE kama unandoto ya kuja kuwa TAJIRI na kuishi maisha ya kitajiri.

4.MWANAMKE AHADI
Huyu huwa na WANAUME wengi na huwapanga muda tofauti tofauti kiasi kwamba hata wao hushindwa kujuana.
Kila mwanaume anajukumu lake, yupo wa vocha, wa kulipia kodi ya nyumba, wa kutoa pesa ya saloon N.K

5' MWANAMKE MPENDA KUTAWALA
Huyu hupenda kutawala kila ikiwemo. MAHUSIANO ni kama DIKTETA yeye ndiye. mtoa maamuzi ya mwisho.
ALILELEWA na baba yake. Anatokea familia yenye kipato cha kati na kuendeleaa.
UKITAKA KUMPATA JISHUSHE PIA UKUBALI KUENDESHWA.

6. MWANAMKE PASUA KICHWA
Huyu hutoka kimapenzi na watu wengi, anamvuto pia hupenda kuvaa nguo fupi za kubana zinazo onesha maungo yake kama mapaja nakadharika.
Kukuacha ni jambo la kawaida au wewe. Ukimuacha haoni shida sababu.ndio. asili.yake.
HUYU USIOE. Kuchapiwa ni kugusa tu.

7.MWANAMKE MKOSOAJI
Huyu hupenda kumkosoa mwanaume kila kitu, ni mweupe, mwembamba anamvuto.
Ukimtongoza anamaswali mengi sana na huyauliza kwa kujiamini, hapendi wanawake wwnzake.
JINSI YA KUMPATA mdanganye kila kitu. ,muoneshe wewe ni wa hadhi ya juu.
Ni muoga na mwenye hofu.
UKIOA. nyumbani utakuwa umeleta VUVUZELA.

8. MWANAMKE KAZI KUNOGA
huyu ameolewa na kazi. Hakuna kitu anacho kipenda kama kazi(work).
Huwa hajali mahusiano na hajali kama mpeenzi wake anahitaji care.
Ukimuoa atakuzalia mtoto mmoja au hatakuzalia kabisaa kwa sababu hapendi. Kukaa na mimba kwake anaona ni usumbufu na ni upotevu wa muda,
Mtoto wake humrisisha tabia. Zake.
UKIMUOA jiandae kupewa unyumba mara moja kwa wiki.

9.MWANAMKE MACHOZI.
Huyu alizaliwa na hulka ya kulia(cry)
, jambo dogo tu humtoa machozi,
Ukichelewa tu kidogo kurudi nyumbani. Utamkuta sebuleni analia kisa alikuwa hajui uliko. Kuwa.
ANAHISIA SANA.
Ukitakaa kumnunulia zawadi mnunulie LESO.
ANAFAA KWA KUOA ILA UMPENDE.

10. MWANAMKE MPENDA KUIGA
Huyu anapenda sana kukopi na kupaste vitu vingi.
Hupenda kumiliki vitu kama wanavyomiliki rafiki zake hata kama hana uwezo navyo.
Anajasila za karibu pia hupenda kucheka cheka.
Anaishi mjini ila kwao ni kijijini.
HAPA ukioa jiandae kununiwa kila wakati alafu pia ni mwepesi kujazwa maneno ya kimbea.

11- MWANAMKE MWENYE HOFU YA MUNGU
Hupenda kwenda kanisani, ni BIKRA, hajawahi kutumia pombe katika maisha yake, hufanya mambo mazuri yanayokubalika katika jammii,
Hupenda kuolewa akiwa katika umri wa miaka 25 na huzaa watoto wawili wa kike na wa kiume.
UKITAKA KUMPATA vaa kiheshima ongea lugha nzuri epuka matumizi ya lugha za kihuni.
HUYU ANAFAA KWA KUOA ASILIMIA 100

11,'MWANAMKE SHUGHULI
huyu ni mpenda sherehe , kitchen party, disko n.k na hujitambua baada ya umri kumtupa mkono.
Huyu party ndo hobby yake .
Anapenda sana EVENTS .
Ukitaka kumnasa MWAMBIE AKUSINDIKIZE KWENYE SHEREHE au DISKO.
HAFAI KWA KUOA.

12. MWANAMKE HURU
Huyu hupenda kujihudumia yeye mwenyewe, hapendi kupangiwa, hapendi pesa ya mtu , ni mchapakazi na hupenda mapenzi yenye mipaka( teritory love) kama vile kila mtu amiliki kitu chake.
UKITAKA KUMPATA USIMPE AMRI, USIMPE PESA PIA MSIFIE NA KUMTUKUA
HAFAI kwa kuoa SABABU ipo siku atachapa rapa na vitu vyake.

13.MWANAMKE MAPENZI.
Huyu huwa hawezi kukaa muda mredu bila mpenzi akiwa single atatafuta mwanaume yeyote atakaye jaribu kumtongoza,
Mara nyingi hutumiwa na kuachwa.
HAFAI KWA KUOA ukisafiri tuu kidogo MAN FONGO anatia show.

14. MWANAMKE MIZINGA
Huyu sio wa mchezo mchezo , kama huna pesa usimsogelee, mara nyingi na nadhifu huenda na wakati kama kuvaa kila fashion ya nguo inayoingia , husuka nywele style tofauti tofauti ndani ya wiki moja, pafyumu saba make up ya hatareee.
HUO NI UJUMBE KUWA YEYE SI WA MCHEZO MCHEZO.
HAFAI HAFAI HAFAI HAFAI KWA KUOA

Kwa leo naishia hapa ITAENDELEA.......

Nakaribisha maoni na mchango wako kwako wewe mwana MMU.

DEKITAMBI.
 

innocentmollel

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
1,705
1,500
Hyooo nambaa 2 kukagua kaguaa yaan kaaaaaaaa umemgusaa wanguu yaan anakeraa mpk basiii nimeshamwimbiagaa aachee hyoo tabiaa lkn wapii ndioo Kwanzaa aelewi
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
16,960
2,000
He heheheheheheheheeee unamwelewaje mtu anayekwambia anaenda kununua pampers supermarket na huko atatumia dakika 45 kufanya window shopping ya vitu vingine na kwenye kikapu huchukua vitu ambavyo hakupanga kununua, hela aliyoenda nayo inaisha anarudi nyumbani bila pampers kisha anatuma saa akanunue pampers duka jirani.

Ukimuelewa wa hivi bila kumuuliza maswali imekuweje basi hawatakupa shida tena,hehehehee.

Ila pia muwaelewe pale mtoto wa 3 hafanani na ndugu zako wala zake..... ndo walivyo.
 

dekitambi

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
662
1,000
Kwa hiyo mkuu wanawake hatukupi shida kabisa?
Hawanipi shida labda anyamaze asiongee hapo ndo itakuwa ngumu kumsoma,
Mfano kuna mwingibe juzi kaanzisha thread inairwa PICHA YA KIJANA MZURI nkamsoma ni mwanamke wa aina gani na nimemuelewa haswaa
 

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
1,773
2,000
mi mkuu nina swali... HIVI UMEJUAJE TABIA ZA WANAWAKE WOTE HAWA? Kwa muda gani umetumia kuzoea tabia za wanawake wote hawa?... na kufikia saivi utakuwa na rika gani?
 

dekitambi

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
662
1,000
mi mkuu nina swali... HIVI UMEJUAJE TABIA ZA WANAWAKE WOTE HAWA? Kwa muda gani umetumia kuzoea tabia za wanawake wote hawa?... na kufikia saivi utakuwa na rika gani?
Usinishambulie mimi shambulia hojaa
 

dekitambi

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
662
1,000
He heheheheheheheheeee unamwelewaje mtu anayekwambia anaenda kununua pampers supermarket na huko atatumia dakika 45 kufanya window shopping ya vitu vingine na kwenye kikapu huchukua vitu ambavyo hakupanga kununua, hela aliyoenda nayo inaisha anarudi nyumbani bila pampers kisha anatuma saa akanunue pampers duka jirani.

Ukimuelewa wa hivi bila kumuuliza maswali imekuweje basi hawatakupa shida tena,hehehehee.

Ila pia muwaelewe pale mtoto wa 3 hafanani na ndugu zako wala zake..... ndo walivyo.
Niliandika ITAENDELEA,
But kwa maelezo yako huyo mwanamke anaingia kwenye category ya
MWANAMKE MAGROUP
Huyu hupenda kuolewa na watu MAARUFU wenye pesa,
Maranyingi huwatafuta maeneo mbali kama kumbi za starehe wanapopenda kwenda watu maarufu n.k
Aina hii haifai kwa kuoa sababu UKIFURIA anakuacha
 

dekitambi

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
662
1,000
Utajaza hii server na still huwezi waelewa hawa viumbe...Wanabadilika kutokana na mazingira leo yuko kundi A kesho asubuh na mapema kesharukia kundi C ilihali wewe umebaki pale A...
NOTHING IS IMPOSSIBLE,
Unless you try it,
Even when you fail,
Never quit,
BADILIKA MKUU PINGA KWA HOJA
 

kirusi cha ukimwi

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
805
1,000
Utajaza hii server na still huwezi waelewa hawa viumbe...Wanabadilika kutokana na mazingira leo yuko kundi A kesho asubuh na mapema kesharukia kundi C ilihali wewe umebaki pale A...
Wanawake wako flexible kulingana na mazingira ila inabidi awe shaped na jamaa yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom