Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
Paka wa Dar es salaam huyo
Paka anaangalia TV ??
Paka anashinda juu ya kochi
Paka anachagua msosi ,anasusa kabisa
Lazima apigwe na akimbizwe na panya
Ebo
Mikoani paka anaua nyoka .
Paka hajui TV ipoje,hachagui msosi