Chocalate67
New Member
- Dec 13, 2016
- 3
- 2
Nisaidien jamani Nina mpnz wangu, kila nikiumwa huwa ananifukuza, ila nikiwa mzima yuko karibu nami, nifanyeje? Nivumilie au niendelee nae atabadirika?
Nisaidien jamani Nina mpnz wangu, kila nikiumwa huwa ananifukuza, ila nikiwa mzima yuko karibu nami, nifanyeje? Nivumilie au niendelee nae atabadirika?
Ni noma kwa kwahiyo unamshauri asichezee shilingi chooni maana na huu usawa baba J sio mchezoDah,ukiumwa anakufukuza?
Inaonekana hapendi uumwe
Na kama hapendi uumwe,basi anapenda uwe mzima
Na kama anapenda uwe mzima,basi anakupenda sana huyo,usimuache!
Ukiumwa nini..? MP au..?Nisaidien jamani Nina mpnz wangu, kila nikiumwa huwa ananifukuza, ila nikiwa mzima yuko karibu nami, nifanyeje? Nivumilie au niendelee nae atabadirika?