Msaga mashine wa kijiji
Member
- Dec 24, 2016
- 33
- 28
Habarini za sikukuu?
Mimi ni mwanaume wa Bara
Umri wangu 30 yrs
Ni mrefu mwembamba kiasi
Mweusi kidogo
Dini mkristo.
Elimu darasa la saba
Kazi yangu nimejiajiri na
Pia nimeajiri.
Nahitaji mchumba ambaye baadae atakuwa mke
Umri 19-27yrs
Awe mrefu
Asiwe mnene sana
Elimu yoyote,
Awe na hofu ya Mungu
Awe na moyo wa kujituma
Pia mvumilivu
Mengine tutalekebishana.
Njoo PM
Mimi ni mwanaume wa Bara
Umri wangu 30 yrs
Ni mrefu mwembamba kiasi
Mweusi kidogo
Dini mkristo.
Elimu darasa la saba
Kazi yangu nimejiajiri na
Pia nimeajiri.
Nahitaji mchumba ambaye baadae atakuwa mke
Umri 19-27yrs
Awe mrefu
Asiwe mnene sana
Elimu yoyote,
Awe na hofu ya Mungu
Awe na moyo wa kujituma
Pia mvumilivu
Mengine tutalekebishana.
Njoo PM