Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wenye Mabwawa wana:- 1. deep set eyes~ macho yao yamekaa kwenye vikombe vyake i.e yako ndani. 2. skinny eyelids~ kope zao nyembamba 3. big watery eyes~ macho makubwa yasiyo makavu 4. they are...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Happy new year ![emoji182][emoji182][emoji182]
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF hususani MMU! Ni matumaini yangu kuwa mko vema kiafya! Binafsi Niko vema kwa Msaada wa Mungu! Niwatakie maisha mema mwaka 2017! Mungu awabariki mfikiriapo ndugu,jamaa na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Utafiti wa tiba ya ngono (sex medical research) unathibitisha kuwa kufanya ngono kuna faida sana mwilini. <a>ngono hupunguza maumivu (pain relief). mf maumivu ya mgongo, kiuno, kichwa, n.k...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
Nilikua na mwanamke niliemuoa na nilikua nampenda kupita kiasi, ila tumeachana miaka miwili iliyopita baada ya kuhisi eti ninatembea na rafiki yake, kiukweli sikua kabisa na uhusiano na rafiki...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
How are you neeeeeeeeeeeeee... Bila shaka suala la KUCHEPUKA limekuwa tatazo sugu kwa wana ndoa.Ewe mchepukaji zijue hasara pengine utamtafuta wakwako wa halali. 1. Huna mamlaka na mwenza huyo...
14 Reactions
36 Replies
7K Views
Habari wakuu wa idara ya MMU leo nimeona nisiendelee kukaa kimya wenda nyie mnafahamu kuhusu hili suala la KIBAMIA mara kadhaa husikia kuhusu sisi wanaume kutaniwa kuwa tunavibamia naomba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini Wadau, Juzi jumapili ya wiki iliyopita tarehe 4 nilikuwa kwenye sherehe ya kipaimara ya dogo mmoja eneo flani la Arusha Mjini. Kulikuwa na pombe za kutosha hasa beer na watu...
4 Reactions
230 Replies
31K Views
Wasalaam wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mwenye uelewa mzuri kuhusu nyota ya simba hususani vitu vifuatavyo kama : mavazi gani yanafaa, uhusiano/mke yupi anafaa, Biashara/Kazi gani inafaa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za wakati wakubwa.... Yakiwa yamebakia masaa machache na dakika kabla hatujaingia mwaka 2017, naomba nilete mbele yenu mrejesho kuhusiana na maoni/ushauri mlionipatia kupitia thread yangu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Niko njia panda. Shemeji yenu mpenzi wangu ingawa ni mume wa mtu anahamia Dodoma kikazi. Nitakuwa mpweke sana.
4 Reactions
107 Replies
10K Views
Katika pilika pilika zangu leo nilitoka alfajir na rafiki yangu Hussein kwenda kwenye biashara zetu. Tuliacha kila mmoja alikwenda mitaani ndipo nimegundua ya kuwa mapenzi ya siku hzi uongo...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu zangu, vijana wa kiume muwe makini sana haya ninayoyasema sio ya kusikika nimeyaona na yamenikuta yapo mimi ndio bilgc father. Kwanini wasichana wa karne hii hasa wenye kazi (check no )...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Niliwahi kusoma 'utani' mahali kwamba; Kama unataka 'kumuua' mwanamke, basi mwambie unampenda kisha usiongee nae tena!!(Tell her you love her,then ignore her!) Lakini, je ni kweli mwanamke...
2 Reactions
131 Replies
19K Views
Kuna swali liliulizwa juu ya majimaji kwenye uke wa mwanamke, kama ni raha au kero kwa mwanaume wakati wa kujamiiana..! Jibu lilikuwa hivi: Kuna aina mbili za maji anayotoka mwanamke wakati wa...
5 Reactions
109 Replies
57K Views
Salaam! Ni ushauri tu, Kama tunataka mahusiano yetu yaanze vema 2017, tafadhali kwa siye ambao hatujaingia kwenye ndoa tusianze mwaka na kufanya ngono yaani tuiache tar 1/1ipite ndo tulianzishe...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Habarini Wadau, Kama kawaida Mods, lengo si kukashifu ibada/huduma ya watu bali kuonya na kurekebisha ◆ SAFINA REDIO ni redio iliyopo jijini Arusha iliyoanzishwa miaka michache tu ya nyuma...
3 Reactions
40 Replies
14K Views
Kama mke wako, mpenzi wako au side chick wako ana tabia zifuatazo, amesha-cheat kwako au ipo siku ataku-cheat. 1) Ana boreka haraka – Wanawake wanaoboreka haraka nirahisi kutafuta mwanaume...
4 Reactions
52 Replies
12K Views
Naomba kueleweshwa Inamchukuwa muda gani mwanamke kufika kileleni?
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Hawa jamaa huwa wana makengeza au?!;??? Au unakuta ndada kaopolewa na lijamaa lichafuuuu Nini huwakumba hawa viumbe?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…