Faida Za Kufanya Ngono

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,679
Utafiti wa tiba ya ngono (sex medical research) unathibitisha kuwa kufanya ngono kuna faida sana mwilini.
<a>ngono hupunguza maumivu (pain relief). mf maumivu ya mgongo, kiuno, kichwa, n.k. Kufanya ngono na ukaifurahia hupelekea kutolewa kwa wingi homoni ijulikanayo kama endorphin (this is a feel good hormone).

<b>ngono hupambana na mafua na flu (colds and flu). kufanya ngono husababisha cell protein ijulikanayo kama immunoglobulin ambayo hupambana na vimelea vya mafua na flu kutengenezwa kwa wingi.

<c>ngono hupunguza uwezekano wa kupata saratani na magonjwa ya moyo <cutting down cancer and heart diseases>.
utafiti umeonyesha kuwa wanaume wanaofanya ngono mara kwa mara huepuka kupata tezi dume (prostate cancer) na magonjwa ya moyo.

<d>utaendelea kuonekana kijana (looking younge).
utafiti unaonyesha akina dada wanaogawa sana wanaendelea kutesa kwenye soko kuliko wanaobana. kwa ujumla mtu anayefanya ngono mara kwa mara awe me au ke huonekana mdogo kwa miaka 10 (looks 10 yrs younger).

NGONOKENI MSIZEEKE
 
Unasema Ngono huondoa uwezekano wa Kupata Tezi Dume?

Unajua kuwa Jakaya Kikwete na Samwel Sitta waliugua Tezi dume?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom