2017 hiyo!

kingundya

JF-Expert Member
Apr 22, 2013
1,630
2,776
Habari zenu wana JF hususani MMU!
Ni matumaini yangu kuwa mko vema kiafya!
Binafsi Niko vema kwa Msaada wa Mungu!
Niwatakie maisha mema mwaka 2017! Mungu
awabariki mfikiriapo ndugu,jamaa na marafiki!


Pamoja sana!
 
Kanisa moja huko Marekani wamemualika kijana wa kiislam kwenda kutoa Adhana kwenye kanisani kabla ya kuanza ibada yao, kwani wamehisi Adhana inafanya Nafsi itulie na kuwa tayari kwa Ibada
 
Back
Top Bottom