Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
Habari wakuu wa idara ya MMU leo nimeona nisiendelee kukaa kimya wenda nyie mnafahamu kuhusu hili suala la KIBAMIA mara kadhaa husikia kuhusu sisi wanaume kutaniwa kuwa tunavibamia naomba mnifahamishe uume ambao ndio umepewa jina la kibamia ni ukubwa wa Inch ngapi?
Kama mada haijakuvutia sio lazima uchangie pita hivi, heshima ni kitu cha bure tuzingatie sheria za jukwaa, natangaliza shukrani.
Kama mada haijakuvutia sio lazima uchangie pita hivi, heshima ni kitu cha bure tuzingatie sheria za jukwaa, natangaliza shukrani.