Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu Natafuta mke Umri awe na miaka 25 kuendelea. Elimu diploma na kuendelea. Umri miaka 38. Nimeajiliwa serikalini. Wewe dada unayejiona unaweza kuisha na mwanauame kwa upendo na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana JF. Siku za karibu nilipata mualiko kutoka kwa rafiki yangu moja kula chakula cha jioni. Nilipofika nyumbani kwa rafiki yangu, jamaa kanikalibisha vizuri pamoja na mke wake, chakula...
0 Reactions
127 Replies
12K Views
Sex with robots is “just around the corner”, an expert told a global conference in London this week featuring interactive sex toys and discussions on the ethics of relationships with humanoids...
5 Reactions
133 Replies
16K Views
Just few minutes ago..... You with the sad eyes Don't be discouraged Oh I realize It's hard to take courage In a world full of people You can lose sight of it all And the darkness inside you Can...
2 Reactions
2 Replies
598 Views
Juzi kati tulikuwa na jamaa tuna discuss mambo ya kikubwa,tukafikia topic ya kabila gani Tanzania ni mafundi kwa mapenzi ya Kitandani,wengi waliishia kusema kuwa wanaume wa Tanga ni mafundi...
0 Reactions
95 Replies
48K Views
well japokuwa mimi na MMU sio sana mara zote nakuwaga jukwaa la siasa lakini leo sio mbaya tukashare kile kilichopo moyoni, baada ya kutokuwa kwenye mahusiano tangu 2012 hatimaye mwaka 2016...
11 Reactions
76 Replies
5K Views
Wakuu I really need ushauri wenu kwenye hili.: Nilipokuwa chuo kikuu third year nilimpa ujauzito girlfriend wangu aliyekuwa anamaliza kidato cha nne. Alijifungua like ten days kabla hajasafiri...
2 Reactions
86 Replies
13K Views
Habari wana MMU . Najitokeza kwenu leo hii nikiwa na nia ya kuweza kuanza maisha mapya ya kimahusiano hasa ukizingatia kua tunaingia mwaka mwingine soon tuNapatikana lindi kwa sasa kimaisha ila...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu zangu Wana JF, nisaidieni kuvunja haya mahusiano. Nimekuwa katika mahusiano ya uchumba kwa takriban miezi 3 lakini niliyokutana nayo ni siri yangu. Kwa ufupi demu ana sifa zifuatazo...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
ebu tuelimishane.kuna mtu tumetibuana name Kosa tu sijamtumia happy New year wishes. is it necessary to wish someone na faida na hasara atakazozipata nikimtumia au nisipomtumia hizo wishes ni zipi?
0 Reactions
17 Replies
1K Views
kheri ya mwaka mpya wakuu japo nina uchungu sana asanteni Alhamdulillah Mpaka Hapa nilipo mwaka jana Kunawakati Nilikata Tamaa nakumkufuru mwenyezi mungu kwa mitihani ya maisha wakuu baada...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwanza natanguliza salaamu kwenu. Katika vitu ambavyo siwezi kuvisahau katika maisha yangu ni Jando, hii inapelekea nikiona damu tu nakumbuka. Kwanza nilitahiriwa kipindi najua mema na mabaya...
9 Reactions
81 Replies
13K Views
Hii nyimbo inatudhalilisha wakaka tusio na kipato, hivi basata hawaioni au wameruhusu watu tudharauliane. Kama ni hivyo basi waturudishie nyimbo yetu ya chura ambayo wadada walikuwa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii imetokea huko nchini Peru, mlevi mmoja aliyekuwa na rafiki zake ameanguka na kuumia vibaya kichwani, sasa gari la wagonjwa lilivyokuja kumchukuwa, rafiki zake wa kweli hawakumuacha peke yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Usisubiri mtu afe ndio umpost mtandaoni na kuandika Rest In Peace my lovely Friend. [emoji22] Wakati yupo hai ndio wakati sahihi wa kuonyesha ni your lovely friend kwake na kwa wengine. [emoji53]...
1 Reactions
2 Replies
896 Views
Wenye Mabwawa wana:- 1. deep set eyes~ macho yao yamekaa kwenye vikombe vyake i.e yako ndani. 2. skinny eyelids~ kope zao nyembamba 3. big watery eyes~ macho makubwa yasiyo makavu 4. they are...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Happy new year ![emoji182][emoji182][emoji182]
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF hususani MMU! Ni matumaini yangu kuwa mko vema kiafya! Binafsi Niko vema kwa Msaada wa Mungu! Niwatakie maisha mema mwaka 2017! Mungu awabariki mfikiriapo ndugu,jamaa na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Utafiti wa tiba ya ngono (sex medical research) unathibitisha kuwa kufanya ngono kuna faida sana mwilini. <a>ngono hupunguza maumivu (pain relief). mf maumivu ya mgongo, kiuno, kichwa, n.k...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
Nilikua na mwanamke niliemuoa na nilikua nampenda kupita kiasi, ila tumeachana miaka miwili iliyopita baada ya kuhisi eti ninatembea na rafiki yake, kiukweli sikua kabisa na uhusiano na rafiki...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…