Rafiki wa kweli, mpaka Dakika ya Mwisho!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Hii imetokea huko nchini Peru, mlevi mmoja aliyekuwa na rafiki zake ameanguka na kuumia vibaya kichwani, sasa gari la wagonjwa lilivyokuja kumchukuwa, rafiki zake wa kweli hawakumuacha peke yake na waliandamana naye mpaka Hospitalini!

homu tulifukuza manjeree wote walinzi tukaweka madogi sasahivi tunalala balaa!
 
Hii imetokea huko nchini Peru, mlevi mmoja aliyekuwa na rafiki zake ameanguka na kuumia vibaya kichwani, sasa gari la wagonjwa lilivyokuja kumchukuwa, rafiki zake wa kweli hawakumuacha peke yake na waliandamana naye mpaka Hospitalini!

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom