falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,287
well japokuwa mimi na MMU sio sana mara zote nakuwaga jukwaa la siasa lakini leo sio mbaya tukashare kile kilichopo moyoni,
baada ya kutokuwa kwenye mahusiano tangu 2012 hatimaye mwaka 2016 katika pitapita zangu bara na visiwani mijini na vijijini nikabahatika kukutana na dada mrembo, mwenye muonekano wa kisomali kidogo lakini ni mchaga wa marangu mtoni ,mtoto mweupe hatari. sasa hapa tulipo penzi ni motomoto na Aika wangu.
mimi na mwenzangu tumeplan mwaka huu tuanze process zote zitakazo tupelekea kwenye ndoa japokuwa tayari nyumbani kwa bibie najulikana kama mimi ndio nakula mzigo.bahati nzuri zaidi mimi na bibie wangu wote ni wakatoliki. hivyo chondechonde wanajf na mimi mniombee kama mnavyomuombeaga magufuli niweze kufanikisha jambo hili la heri