Jorochere
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 994
- 670
Ndugu zangu Wana JF, nisaidieni kuvunja haya mahusiano.
Nimekuwa katika mahusiano ya uchumba kwa takriban miezi 3 lakini niliyokutana nayo ni siri yangu. Kwa ufupi demu ana sifa zifuatazo:
1:Ukimpigia simu mtaongea vizuri ila mwishoni lazima aombe hela ya saluni/viatu /nguo. Cha kushangaza sijawahi kuona hata nywele zake maana Muda wote ni leso kichwani.
2:Amemaliza chuo yupo kwao, nilimshauri nimtafutie kazi afanye kwa Muda akaniambia kwao hawana sheeda.
3:Akipiga simu naongea na simu nyingine ni kesi kubwa mno,,,!hadi ugomvi.
4:Kutukana kwake ni kawaida Sana. Wala haogopi.
Kwetu sijampeleka kwao sijaenda. Sasa nimeamua kuachana naye lakini ameshindikana. Kila nikianzisha mada ya kuachana anakata simu halaf nikituma sms hajibu. Baada ya siku mbili anarudi tena.
Sasa nimechoka nisaidieni ndugu yenu.
Asante.