Mwanaume suruali

Mwanaume suruali

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,707
Hii nyimbo inatudhalilisha wakaka tusio na kipato, hivi basata hawaioni au wameruhusu watu tudharauliane.

Kama ni hivyo basi waturudishie nyimbo yetu ya chura ambayo wadada walikuwa wanalalamika inawadhalilisha mitaani wakati wenyewe wanaume tuliipenda.
 
Wamekusikia
Tusubiri utekelezaji kama kutakuwa na umuhimu
 
Hii nyimbo inatudhalilisha wakaka tusio na kipato, hivi basata hawaioni au wameruhusu watu tudharauliane.

Kama ni hivyo basi waturudishie nyimbo yetu ya chura ambayo wadada walikuwa wanalalamika inawadhalilisha mitaani wakati wenyewe wanaume tuliipenda.
Hujamuelewa wewe MwanaFa. Yeye anawakilisha wanaume wasioona mantiki ya kuhonga na anapinga kununua penzi.
 
Tena Hii Ndo Nyimbo Itakayosindikiza Hisia Zangu Kwa Wanawake Kwa Mwaka Huu Wa 2017."unapenda Hela Zangu Nami Nazipenda Pia Kila Mtu Abaki Na Zake Bye Baby Tutaongea".
 
Hii nyimbo inatudhalilisha wakaka tusio na kipato, hivi basata hawaioni au wameruhusu watu tudharauliane.

Kama ni hivyo basi waturudishie nyimbo yetu ya chura ambayo wadada walikuwa wanalalamika inawadhalilisha mitaani wakati wenyewe wanaume tuliipenda.
Siyo kwa malalamiko haya itakuwa umeitwa mwanaume suruali
 
Tafuta pesa kijanal, acha lawama lasivyo wasichana wazur kama kina sie utakomea kutuita Shem!!!
 
Back
Top Bottom