Mrejesho: Baada ya kutaka kunywa sumu

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
843
kheri ya mwaka mpya wakuu japo nina uchungu sana asanteni
Alhamdulillah Mpaka Hapa nilipo mwaka jana
Kunawakati Nilikata Tamaa nakumkufuru mwenyezi mungu kwa mitihani ya maisha wakuu baada wadau humu jf kunipa matumaini
Lkn Allah Akanijaza Nguv
Zaidi
Allamdillillah
Wakuu kwa mwaka 2017 nilijipanga kujiendeleza na masomo yangu ya ufundi ndugu zangu naombeni msaada mnijuze zaidi ni chuo gani ambacho nitaweza kujiendeleza na ufundi wangu sifa za elimu yangu rejea thread yangu ya mwaka jana

Baraka current a k a funny deaf
 
Si kwamba sijawahi au huwa sipitii Magumu hapana

kuna wakati huwa napita hata akili inasimama,

lkn pamoja hayo tangu niwe na akili za kupambanua jema na baya, sijawahi kufikiri kujiua

zaidi ya kupiga moyo konde na kusonga mbele,

ni ujinga kutaka kukatisha maisha eti kwa sababu kuna jambo fulani linakupashida

ni uwendawazimu
 
Asante mkuu kheri ya mwaka mpya
 
Sasa mkuu upo setious na msaada kweli?
Ungeainisha ni ufundi wa aina gani?
Sumu uliyotaka kunywa ni ya aina gani?
Ungeinywa kwa maziwa gani?
Tuanzie hapo kwanza
 
Sometimes huwa napitia vitu ambavyo mpaka akili yenyewe inasema "Siwezi kuendelea zaidi hapa nilipofika nimefikia mwisho wa uwezo wangu na kufeli kwangu ni mipango ya Mungu".. Inauma sana,there has nothing you can do..Ila kujiua ni kitu ambacho si rahisi kuwaza ukiwa na imani.
 
kheri ya mwaka mpya wakuu japo nina uchungu sana asanteni
Alhamdulillah Mpaka Hapa nilipo mwaka jana
Kunawakati Nilikata Tamaa nakumkufuru mwenyezi mungu kwa mitihani ya maisha wakuu baada wadau humu jf kunipa matumaini
Lkn Allah Akanijaza Nguv
Zaidi
Allamdillillah
Wakuu kwa mwaka 2017 nilijipanga kujiendeleza na masomo yangu ya ufundi ndugu zangu naombeni msaada mnijuze zaidi ni chuo gani ambacho nitaweza kujiendeleza na ufundi wangu sifa za elimu yangu rejea thread yangu ya mwaka jana

Baraka current a k a funny deaf
Mungu azidi kukupigania utafanikiwa kukata tamaa ni dhambi kubwa sana labda uwe umekufaa lakini kama una vuta pumzi amini kuna siku utafanikiwa asante sana.
 
Sometimes huwa napitia vitu ambavyo mpaka akili yenyewe inasema "Siwezi kuendelea zaidi hapa nilipofika nimefikia mwisho wa uwezo wangu na kufeli kwangu ni mipango ya Mungu".. Inauma sana,there has nothing you can do..Ila kujiua ni kitu ambacho si rahisi kuwaza ukiwa na imani.
kiongozi kila mtu anapitia mitihani yake ila ni marufuku kukata tamaa Mungu akupe ujasiri na nguvu katika hivyo vitu unavyopitia.
 
Sasa mkuu upo setious na msaada kweli?
Ungeainisha ni ufundi wa aina gani?
Sumu uliyotaka kunywa ni ya aina gani?
Ungeinywa kwa maziwa gani?
Tuanzie hapo kwanza
Rejea thread yangu ya mwaka jana
dube
 
usikate tamaa hata siku moja ...

Tumezaliwa wanaume moyon maaskar pambana mpaka risas ya mwisho kama Gaddafi jemedar
 
asanteni saana ila wakuu bado mjanipatia msaada main point ya hii thread wadau naomba mjitokezee zaidi
 
sumu ya panya siku hizi haiui kuna kitu kimepunguzwa mle halafu nyingi ni feki.siku nyingine ukihitaji sema tukuambie sumu kali
 
Back
Top Bottom