Is it necessary kumtumia mtu text ya kumuwishi happy New year?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,051
2,105
ebu tuelimishane.kuna mtu tumetibuana name Kosa tu sijamtumia happy New year wishes.
is it necessary to wish someone na faida na hasara atakazozipata nikimtumia au nisipomtumia hizo wishes ni zipi?
 
huenda hamjatibuana kitambo

hivyo alikuwa na hamu ya kutibuana

kwa sababu hakukuwa na kisababishi basi hii ndio imekuwa sababu

mtaelewana tu
 
Not necessary. Huu nao umekuwa upumbavu mwingine kwa mwafrika.
 
haya mambo ya wishing ni kulazimisha uhusiano au kutafuta sababu za kuvunja uhusiano au gia ya kuombana hela ya matumizi yasiyo ya lazima.
 
una uliza faida na hasara wakati unaona mmekosana kwa ajili hujatuma wishes (hasara), ungetuma ingekuwa poa (faida).
 
Back
Top Bottom