Random thoughts | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Random thoughts

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, May 17, 2011.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Why is it that some people like to act like they know you "well" when they damn well know that they don't know you?

  You will hear somebody say..oh I know such and such...he is this and that...I know his family..and yadi yadi yada. Sucker please...do you really think you know who you think you know?

  And some people dislike (I don't wanna use the word hate because it is too strong a word) people that they don't even know. I really get a kick out of this one.

  You will hear people say 'I don't like him'....'he's too full of himself'....'he's conceited'....and other things of that nature. Hahahaaa get out....you've never even met that person you proclaim to not like so how can you reach that conclusion? You fuggin imbecile.

  So what's the moral of the story here? The moral of the story is don't be too judgmental especially of people whom you don't know or things that you've never experienced.

  That's it folks. Have a good one.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hhahahha....sorry but i just had to lol for a sec!!

  Nwy ukisikia mtu anasema anakujua taka kwanza kujua anajua nini kabla hujacharuka maana inawezekana kuna mtu anampa habari zako!!Kuna siku nilienda na dada mmoja sehemu..alikua mgeni hapa mtaani kwetu hata wiki hajamaliza.Ila tuliyeenda kumuona though hawajawahi kukutana au hata kuongea alikua anamjua huyo dada kupita maelezo.Anajua mpaka mambo yake yasiyoelezeka!Kumbe kuna rafiki yake anakaa mkoa mwingine anamfahamu jamaa na alikua anatoa story za mwenzake mpaka jina....kwahiyo alivyojitambulisha tu akaambiwa ahhhh kumbe ndo wewe...aisee wewe nakujua sana.
  Ila kama mtu hakujui kweli hua wanataka sifa tu!!

  Na hao wanaochukia watu bila sababu wamekosa kazi yakufanya....
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Most likely it is because they are little bit insecure with themselves. Everyone feels that way at some point but there are some people who just don't deal with it in the best way. Every single person has a way of thinking about how people should behave, what's good and bad, and many think that just because you ain't doing what they think it's the right thing, they classify you, they can call you stupid, ignorant or well simple to hate you.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Lizzy, muktadha hapa ni huu waki world wide web. Watu wana-form perceptions zao halafu wanazigeuza zinakuwa kama ndo uhalisia au ukweli wenyewe.

  Usije shangaa kuna watu wewe "wanakujua" kuliko hata unavyojijua mwenyewe lakini hata siku moja hawajawahi kukuona na hata ukipishana nao njiani hawatakutambua.

  Vidudu watu wa namna hii wanachekesha na kushangaza kwa pamoja!!!!!
   
 5. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Who are we to judge others, we are growing b'se of mistakes we make and the experience we go through in life,therefore respect one another and don't be judgemental
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ignorance. First impressions are still at ignorant level. Judgments of other people stemming from your own insecurities are still at ignorant level. Hating people you've never even met and know nothing about comes out of ignorance
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  See, to me people are much more than first impressions and that is the reason why I always make a conscious effort not to allow it to be the basis of my opinion of others. But unfortunately not everybody is like me or thinks like me.
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hizo ndio DNA za uswahilini bana. Usishangae waifu wako home mshahara wako haujui halaf kuna memba tu hapa JF au fesibuk anaujua. hehehe kimewaka aisee
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahhahaha kumbeeee....aiseee sasa hiyo ni hatari!!!Labda wanashindwa kutofautisha kati ya kuhisi na kufahamu/kujua!!!Na zaidi ni kwamba they have too much time on their hands.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Wewe dawa chungu wewe mimi nakujua wewe. Umezaliwa 1959 pale wilayani Nangulukuru . Embu ngoja nipige mahesabu nione una umri gani.....2011-1959 = 52. Teh tih teh....
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  All breads down to jealousy. They will hate the way you walk, talk, speak because they know they aren't you, insecure about themselves and may be you have something they don't.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Desh desh unasoma kitabu gani???!
  Lol...just kidding!Unachosema ni kweli!!

  Ohhhh alafu kitu kingine nnachochukia ni unakutana na mtu alafu mwingine anaanza kukwambia yule hivi na vile...usiwe karibu nae...sio mtu mzuri and all that kinda bs.Kuna mtu niliwahi kuambiwa nikae mbali nae ila kwasababu mimi ni mbishi na napenda kumjua mwenyewe na nikimpotezea iwe kwa sababu zangu mwenyewe nikakomaa nae.Matokeo yake tulikuja kuwa marafiki wazuri sana mpaka leo na kesho sijawahi kujutia kukutana nae!!

  Kwahiyo wale wanaopenda kuwekea wenzao kagiza nao wabadilike....
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Hicho kipande....
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hahahaha!!!!!

  Kama alivysoema klorokwin uswahili banaa ishu kama hizo kwa sana tu, ndio yale yale maisha yako yakibadilika wanaanza "Ohoo kwani ulikuwa haujui anauza unga yule" mtu wala hakujui ameisha conclude tayari.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ankal uswahili soo hakufai kabisa
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  dah! nyundo 52? Nikigonga hapo ndio natangaza ufataki rasmi. hivi vikina Lizzy sjui Husninyo naangusha tu.
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  ankal umeelewa vizuri sana. Sred klosed
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Walah tena wee ni khabithi mwanakharamu kabisa. Niko hapa kwenye duka la dawa baridi nimekuja kuchukua dozi yangu ya vayagra sasa mwenye duka anashangaa kwa nini nagalagala kwenye sakafu yake. Ahahahahaaaa…..na ongeza Afrodenzi kwenye hiyo list yako…..fataki mwanakharamu weeeee
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe halaf hili faif star signature nilikuwa sjalishtukia. Raisi wa wabeba maboksi, ndiye mimi.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Aah kama kuna sijui raisi wa masharobaro…sijui raisi wa wasafi…..sijui raisi wa nini nini……na sisi wabeba maboksi je? Nikaonelea hakuna ubaya kuwawakilisha kina wenzangu na miye istahilivyo.
   
Loading...