Mapenzi ni kujitoa ukipenda penda kweli

Sadock Kabuko

JF-Expert Member
Mar 26, 2013
1,171
1,080
Ukiamua kuingia kwenye suala Zima la Mahusiano ya Mapenzi,Unatakiwa kusahau wengine na kuambatana na Ulie nae kwa dhati na si kiusanii sanii.Kwanini nasema hivi kwasababu PENZI lina MIIKO yake na Wengi wanashindwa kukaa humo kwasababu ya kitu kinaitwa 'UBINAFSI''.
PENZI la kweli liko hivi ndugu zangu;- UWAZI,UAMINIFU,KUCHUKULIANA pamoja na KUJALIANA.
Ukiona kila wakati unavyokaribia kufika nyumbani Simu yako unaibadili mlio inakuwa ''SILENT MODE'' muda wote na wakati mwingine unailaza ''UPSIDE DOWN'' ujue suala Zima la Uwazi na uaminifu kwako ni tatizo na sidhani kama uko tayari na Suala Zima la Mapenzi ya wazi na ulie nae.Kwasababu kum ''CHEAT'' mwenzi wako sio lazima ulale na mtu bali ''HATA ZILE SMS, WHATSAPP,EMAILS UNAZOZIFUTAGA KABLA HUJAFIKA NYUMBANI'' ili mwenzi wako asizione tayari unakuwa UmeshamCheat.Kwasababu Maisha haya ya Mapenzi ya dhat huwa yanaharibiwa na sumu inaitwa kwa Kiswahili ''KUCHEKELEA UJINGA'' wazungu waita ''INTERTAINING NONCENSE''.Waliofaulu kwenye Mahusiano yao ni wakali sana kwenye swala hili,kwasababu ukishindwa kujilinda mwenyewe unadhani unaweza ukamlinda mwingine!?Kitu kingine ukiona ukiwa mbali na Mpenzi wako unakuwa na UHURU kupita kiasi hilo nalo ni tatizo tena sio dogo.Kwamfano umesafiri kikazi uko na Coworkers wenzako na mnashinda ''Clubs'' Bars'' na kupiga soga nyingi zisizo na maana,au unaongea sana na simu usiku wa manane na mtu asiye wako kwa mda mrefu,My friend hapo pia kuna tatizo.Kwasababu ukifanya vitu Fulani huko nje kwaajili ya sifa za kijinga kwa rafiki zako,kuna siku utapoteza Mtu muhimu sana Maishani mwako kwasababu ya kitu kinaitwa ''PRETENDING''.Na kumbuka siku zote MUNGU huwa karibu na mtu mkweli na alifanya maamuzi full na sio nusu.Ukiona mwenzio anakukasirikia kuhusu mawasiliano Fulani kati yako na mtu mwingine please usimpinge bali kubaliana nae na umtii MUNGU hutumia sana wapenzi wetu kutuonya kuhusu jambo Fulani linataka kutokea ili kuepukukana nalo lakini mara nyingi huwa tunaviburi kwasabababu tumewazoea.
''USIRI NI SUMU KUBWA SANA KATIKA PENZI LA DHATI''
BE REAL TO YOURSELF AND MAKE AN OPEN DICISSION kwani uishi kwa wasiwasi na hofu kwako utadhani ''UNAOGA NJE'' wakati amani yako unayo mwenyewe!?
 
Braza kuna ile unajitoa... na mwenzio anajua lakini anakuona tena wewe ndie adui... yaan badala akupende kwa kujitoa kwako ndio anakuchukia. Unalielezeaje suala hili?
 
Aisee wanaume wangekuwa wanaelewa hili ..hakika wanawake wengi tungerudisha sifa na utukufu kwaMungu wetu..na mizigo ya maumivu yetu mioyoni tungeshaitua kitambo pale kalvari na kuwa wanyenyekevu kwa kulihubiri neno la Mungu kila mahala ...tungusujudu upendo wa Mungu kwetu hakika...tungekuwa tukitoa fungu la kumi na zaka kila mwisho wa mwezi wenyew buila hata kukumbushwa na padri,au mchungaji au shehe
 
Nyoo mi siamini tena maneno ya mwanamke asie mama yangu. Wanawake mna tabia za pekee sana kwenye mapenzi. Hata mwanamke awe mpole kiasi gani ukimpenda head over heels imekula kwako. Lazma ulie tu!
Sasa yanini kuumia..mkiteswa ndio mnatuliaga tuli na vilio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom