Facha Don
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 345
- 317
MAMBO MADOGO YAVUNJAYO NDOA.
Mahusiano yetu hasa ya karne hii yamekuwa na changamoto nyingi sana na kila mtu ni shuhuda katika hili na huvunjika kila siku kukicha ni mambo madogo madogo tu huchangia kuvunjika kwa mahusiano yetu na si kingine yafuatayo ni mambo madogo madogo ambayo mwanamke/mwanaume anashindwa kumwambia mwenzake abadilike na mwishowe hupelekea mpk mahusiano kuvunjika.
1. Ulevi
2. Umbea
3. Pedi chafu kutupa uvunguni
4. Umaskini
5. Uvivu
6. Ulafi
7. Wizi
8. Kujamba mbele ya mpenzi wako
9. Kunya(kujisaidia) bila kufunga mlango (self room)
10. Ubahili
11. Kunuka ....(boxer)
12. Kunuka kwapa
13. Kuacha manywele kwenye chanuo la mme
14. Ubishi
15. Uongo
16. Uzurulaji
17. Upagani
18. Kuchati kupita kiasi.
19. Uvaaji wa kihuni
20. Ushabiki wa mpira ulopitiliza
21. Kukaakaa uchi pasipo sababu
22. Kutokujali
23. Pafyumu mbaya
24. Msongamano wa watu kuliko ukubwa wa nyumba.
25. Gubu
26. Ushamba ulopitiliza
27. Majibu ya mkato
28. Ubize usio na maana
29. Umaarufu wa kijinga
30. Kusifia watu wengine.
31.Kujisikia kupita kiasi.
32. Uongeaji mwingi bila kikomo.
33. Uchafu wa mwili na mazingira.
34. Kusafirisafiri bila umuhimu.
35.Kushindwa kuzingatia bajeti.