Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ambae wakati nadate nae hakuwa na kazi na alikua na heshima sana, simu anapiga meseji anatuma na tuna mtoto mmoja lakini kapata kazi basi suala la kupiga simu kwangu ni gumu.
Mimi ndo nahangaika daily kumtafuta mbaya zaidi nikipiga simu kwa ndugu zake nisipoanza kuwasalimia wanamwambia dada yao na anakuja na maneno kibao ya kejeli, sasa bado sijafunga nae ndoa lakini keshaanza nongwa NIFANYAJE JAMANI?