Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu