UTAN: Serikali iseme alipo Lara 1

UTAN: Serikali iseme alipo Lara 1

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
2,920
Reaction score
5,277
Lara1 is one of popular members wa JF hususani jukwaa hili la MMU lakini kwa muda mrefu hatujaweza kumuona hapa jukwaani, kuanzia uchangiaji wa mada mpaka kupost mada zake nzuri na za kusisimua.

Naiomba serikali iseme yupo wapi Lara 1?
 
lara 1 upo wapi Mkuu?

Au Shigongo naye kakuteka kwa kutishia usalama wa Magazeti yake kwa kutoa Story zinazobamba kinouma?

Shigongo aseme Lara yupo wapi. Hatutaki ujinga.
 
Back
Top Bottom