Wadada punguzeni tamaa

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
251
Kuna binti mmoja nilikuwa na mahusiano naye, nilimpenda kwa dhati lakn baadaye akakata mawasiliano ghafla, nikakaa kimyaaa pia baada ya mwaka na miezi kadhaa nikamtafuta akaniambia ye ni mzazi analea. Nikawa mpole nikatulia.

Ikapita miezi kumi akanitafuta akiwa mpolee mno na mnyonge. Analalamika kuwa katendwa kaumizwa. Huku tayari ni single mother. Sijui anategemea huruma gani toka kwangu.

Kusema kweli huyu nilimpenda kwa dhati na nilikuwa na malengo naye tatzo ni kuwa wakati ule hali ya kiuchumi haikuwa vizuri kwangu (Nadhani hili ndilo lililomkimbiza). Sasa anakuja na nidhamu za kuigiza akidhani nitamwonea Huruma.

Jamani wanawake punguzeni tamaa zisizokuwa na sababu. Msipende saana shortcut.
 
Single mother?
Kipindi hicho aliniona sina thamani.. leo azalishwe anirudie + Mtotoo? Yaani hata sisimki kwake tena
Aaaagh never on earth.
okay bro, hujanijibu swali lkn..
 
Mijanamke used mimi hamna tuu...
Naamini cku moja Ex-gf wangu (yule alienitia hasara majuzi) atarudi ulimi chini anatambaa...

Kubabake nitakacho fanya ni kumgonga na kum dump...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Kubabake nimecheka kinoma
 
Back
Top Bottom