Si kweli kufanya mapenzi kunamaliza ugomvi

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,736
2,000
Niliwahi kusikia kwmb mara nyingi wapenzi wanapogombana, au kuwa na mvutano, inapotokea wamefanya mapenzi basi ugomvi ule huwa umefikia mwisho.

Kwani haiwezekan ukasex na mtu hata akiwa amekuzingua lakini ugomvi ukaendelea???

Nadhani kwetu sisi wanaume, unaweza ukawa na hamu hata kama binti kakuboa ukala mzigo, na bifu likaendelea kama kawa hasa kutokana na jinsi alivyojiweka, anaweza akaamsha hisia zako za mapenzi na ukala mzigo
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,035
2,000
Hauwezi kushiriki tendo la ndoa bado ukabaki na hasira yako,never.
Kwanza unapokaribia ku- ejaculate huwa kuna kanatengenezwa kaupendo ka bandia na kujishitukia unamkumbatia kwa furaha huyo "mbaya" wako na kuanza kumbembeleza na kumuomba msamaha kwa makosa yake.
Jinsi ejaculation inavozidi kusogea, ndivyo unavyozidi kuungama na kuahidi kuwa hayo yameisha , umemsamehe kwa kuwa unampenda mno kuliko anavyodhania yeye
Sasa naye huyo mbaya wako akigeuka Delila kukueleza kuwa wewe ni muongo na haumpendi, atakuwa kakumaliza. Maana uthibitisho wa upendo wako kwake utauthibitisha kwa kiapo. Na kama wazungu ndiyo watakuwa wamefika mlangoni, waweza thibitisha kwa ahadi ya kumgawia nusu ya mali zako huku ukilia.
Kilio hicho utakachotoa hakitakuwa na msaada toka kwa mtu mwingine yeyote. Isipokuwa ni wewe huyohuyo peke yako na juhudi zako unatakiwa ujitahidi kuwasukuma wazungu hao watoke.
Sasa nikuulize ahadi zote hizo tena kwa kia
 
Fake P

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
352
1,000
Kwa mimi aisee mgegedo wa 180degree wa hubby yan ule heavy huwa unamaliza migogoro flan flan... inaisha kaabisa sijui kwanini lakin
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,041
2,000
Tena Ukitaka ugomvi uishe mapema zaidi mlale kwenye kitanda cha Tatu Kwa NNE, kama vile vya Secondary au Chuo. Yaani ukigeuka hapa tu umeshamgusa, halafu unakuta mmelala uchi, lazima tu nasema lazima tu ugomvi utaisha. Vile vitanda ni nouma
 
Mr Natafuta

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
1,674
2,000
WANAKUWAGA WATAM UKIZINGUA ALAF UKAOMBA MSAMAA AKIKUSAMEE HAPO HAPO MUOMBE UKIMALIZA ANASINZIA AKIAMKA ANACHEKA KAMA MTOTO MDOGO UTASKIA DADY WEWE BAS TU :D
 
Big4

Member
Mar 22, 2015
60
125
Tena Ukitaka ugomvi uishe mapema zaidi mlale kwenye kitanda cha Tatu Kwa NNE, kama vile vya Secondary au Chuo. Yaani ukigeuka hapa tu umeshamgusa, halafu unakuta mmelala uchi, lazima tu nasema lazima tu ugomvi utaisha. Vile vitanda ni nouma

Niliwahi kusikia kwmb mara nyingi wapenzi wanapogombana, au kuwa na mvutano, inapotokea wamefanya mapenzi basi ugomvi ule huwa umefikia mwisho.

Kwani haiwezekan ukasex na mtu hata akiwa amekuzingua lakini ugomvi ukaendelea???

Nadhani kwetu sisi wanaume, unaweza ukawa na hamu hata kama binti kakuboa ukala mzigo, na bifu likaendelea kama kawa hasa kutokana na jinsi alivyojiweka, anaweza akaamsha hisia zako za mapenzi na ukala mzigo
Hauwezi kushiriki tendo la ndoa bado ukabaki na hasira yako,never.
Kwanza unapokaribia ku- ejaculate huwa kuna kanatengenezwa kaupendo ka bandia na kujishitukia unamkumbatia kwa furaha huyo "mbaya" wako na kuanza kumbembeleza na kumuomba msamaha kwa makosa yake.
Jinsi ejaculation inavozidi kusogea, ndivyo unavyozidi kuungama na kuahidi kuwa hayo yameisha , umemsamehe kwa kuwa unampenda mno kuliko anavyodhania yeye
Sasa naye huyo mbaya wako akigeuka Delila kukueleza kuwa wewe ni muongo na haumpendi, atakuwa kakumaliza. Maana uthibitisho wa upendo wako kwake utauthibitisha kwa kiapo. Na kama wazungu ndiyo watakuwa wamefika mlangoni, waweza thibitisha kwa ahadi ya kumgawia nusu ya mali zako huku ukilia.
Kilio hicho utakachotoa hakitakuwa na msaada toka kwa mtu mwingine yeyote. Isipokuwa ni wewe huyohuyo peke yako na juhudi zako unatakiwa ujitahidi kuwasukuma wazungu hao watoke.
Sasa nikuulize ahadi zote hizo tena kwa kia
 
venine

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
1,379
2,000
Yaani nilishawahi kumsamehe kosa kubwa sbb ya mgegedo enzi za uboyfriend na galfriend tu. Mpaka sasa najiuliza niliingiaje king sbb ya sex tu. Ila ndio huby wangu kwa sasa
 
Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,068
2,000
Niliwahi kusikia kwmb mara nyingi wapenzi wanapogombana, au kuwa na mvutano, inapotokea wamefanya mapenzi basi ugomvi ule huwa umefikia mwisho.

Kwani haiwezekan ukasex na mtu hata akiwa amekuzingua lakini ugomvi ukaendelea???

Nadhani kwetu sisi wanaume, unaweza ukawa na hamu hata kama binti kakuboa ukala mzigo, na bifu likaendelea kama kawa hasa kutokana na jinsi alivyojiweka, anaweza akaamsha hisia zako za mapenzi na ukala mzigo
Hyo aya ya mwisho ni ukweli mtupu!sisi wanaume sio viumbe wa mchezo mchezo!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom