Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,626
Nimdwahi kuwaona wanaume wengi wenye mabavu (wababe) wenye fedha wanaume wenye taaluma za (kibabe) mfano wanajeshi tena komandoo, wezi watumia silaha nzito, nimewahi kusikia madikteta mfano kiongozi wa nazi bwana Hitler wababe wa ngumi za ulingoni kama Mike Iron, wababe kama Iddi Amin, wanamuziki, wanamichezo nk.
Hivi ni kitu gani kinachofanya wanaume tuwe na utii/woga wa kufyata mkia kwa wanawake?
Naomba nipate walau majibu pengine ni asili au tunaogopa kunyimwa...sijui ni kitu gani, mjeda, jambazi, Bosi wa benki, mfanyabiashara mkubwa nk.
Ukifika nyumbani kila kitu ni hewala.
Nini sababu?