Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Siku za nyuma nilileta habari hii; Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma Hatimaye nishaujua ukweli kuhusu mpenzi wangu kuwa hajui kuandika wala kusoma, ilikuwa hivi ilikuwa siku ya jana naenda kuoga...
10 Reactions
81 Replies
9K Views
Awali ya yote nitambulishe kwenu kuwa hii kitu nimeanza nikiwa form one mwaka 2000 nikawa nimejiingiza kuipiga seriously kwa miaka 10 mfululizo, baada ya pale rate ikapungua ingawa ilikua aipiti...
32 Reactions
156 Replies
22K Views
_JE WAJUA HAYA MAMBO YANASHANGAZAA.._ .. Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje? ...' Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii naamin mu wazima na mmeamka salama. Kama uzi unavyojieleza hapo juu nina dada angu aliolewa kwa imani ya dini kiislamu. Alikaa kwenye ndoa yake kwa muda wa miaka 7 alijaliwa kupata...
1 Reactions
49 Replies
9K Views
Kwema humu Jf, Mimi ni wa kiume miaka 27 nataka kuwa na mchumba police ila nadhindwa kabisa kuwatongoza japo huwa nawatamani sana maana najuwa mambo yangu mengine yatapata solution. Sasa...
3 Reactions
52 Replies
11K Views
Hadi leo hii bado kutokana na sababu mbalimbali na mojawapo ni kutokuwa serious kwa baadhi ya wahusika, nina miaka 30 na ni vyema zaidi mtarajiwa aka chini ya hapo. Aliyeko tayari karibu PM...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,natafuta mpenzi/mchumba wa kuoa,umri kuanzia 18_27,mimi niko morogoro. Unaweza nitafuta moja kwa moja kupitia namba 0629160442. Karibuni akina dada wenye...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani sielewi nimeshadate na wanawake takribani wata3, katika maisha yangu huwa nampenda sana mwanamke pale kabla sijamvua chupi na kufanya naye ngono ila akishanipa tu papuchi yaani huwa...
9 Reactions
156 Replies
21K Views
Jamani wana jamnvi, Hivi karibuni nilianza kutia shaka nyendo za mpenzi wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini. Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego...
4 Reactions
148 Replies
14K Views
Habari za mwaka mpya wakuu..! Nimetoka safarini Mwanza, Mwili wote umechoka na viungo vinauma kwa sababu ya uchovu wa safari. Hivyo nahitaji msichana anayetoa huduma ya massage..! Mahali nilipo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina wapenzi watatu kila mmoja kwa nafasi yake inaonyesha ananipenda kweli na wote malengo yao ni kuolewa na mimi kitu ambacho mimi sijakifikiria bado. Sasa nafikiria njia ya kuwatema mmoja mmoja...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habarini wana jamvi,kuna demu alikua mwanafunzi wangu wa chuo mwaka jana nlidate nae sana ila wivu ukazidi nikaamua kumpiga chini akaanza matusi ya hapa na pale sikumjibu sasa juzi kanitafuta na...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Hii ni sinema inayoonyesha changamoto zinazowakabiri vijana wetu hasa katika kipindi cha kupevuka.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hellow guys Life limenifundisha vitu viwili, moja ni ku-stay in my financial lane as well as in my dating lane Mwanaume utakuta sio handsome, maybe kwenye scale ya uhandsome yeye ana-rank 4/10...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni mwanamke sijawahi kuzaa kutokana na matatizo fulani lakini cha ajabu kila ninapokuwa au niendapo napendwa sana na wajawazito. Utakuta mahali ninapoishi wajawazito wanakuja kuongea nami na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini wapendwa wana JF, Naandika uzi huu nikiwa na STRESS NYINGI SANA. Katika pitapita zangu za kujitaftia ridhiki, nilikutana na huyu mdada ambaye baadae tuka-fall in malavidavi. Katika...
2 Reactions
231 Replies
18K Views
Huko Japan mzee mmoja ameishi miaka 20 bila kuongea na mkewe lakini wamekuwa wakiishi pamoja na kushirikiana masuala yote yahusuyo mahusiano ya mume na mke lakini mambo yote hayo yanaenda ki bubu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Njoooni na vituko vya ma girlfriend na Ma boy friend mliowaacha ,je ni kituko gani ulikutana nacho kwa huyo bwana????mimi wangu mmoja nilimwacha alikuwa akila chakula mpka kinadondoka kutoka...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Salaam Wana MMU. Ni mwaka mmoja sasa tangu nioe, na nikiri kuwa naishi kwa amani tu na mke wangu kipenzi. Nilijitahidi sana nisichepuke mwanzoni kabisa mwa ndoa yetu, na niliweza kuvumilia miezi...
20 Reactions
108 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…