kijazi07
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 1,036
- 2,240
Nina wapenzi watatu kila mmoja kwa nafasi yake inaonyesha ananipenda kweli na wote malengo yao ni kuolewa na mimi kitu ambacho mimi sijakifikiria bado.
Sasa nafikiria njia ya kuwatema mmoja mmoja nimeshajaribu njia mbili ila zimegoma;
1.Kukata mawasiliano ila imekuwa ngumu naweza kacha ata mwezi sijaongea nae lakini yeye hakati tamaa na mimi.
2.Kusema ukweli nimesha waambia kila mmoja kwa muda wake kuwa tuachane ila wanaona nafanya utani sasa sijui nawaachaje.